Ila kipande cha kutoka hotelin hadi same ndo kipande cha kutembea120kph- 140kph-180kphKwa kuwa naenda sana Kilimanjaro, ile kipande baada ya kutoka hotelini hadi kufika same panaboa sana hasa ukiwa idle tu. Kwa kurudi ni Segera mpaka kuipata Wami. Unaweza hisi umeshinda siku nyingine kwenye gari!
Pole my.Mtera to iringa mjini[emoji19]
Ahsante myPole my.
Upande bombadie siku moja moja my
Usijali myAhsante my
Sina hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]
Hivi wakuu hiki kipande cha chalinze hadi Mlandizi kimeishapona au manake sijapita siku nyingi njia iyo huwa napita bagamoyo tu siku hizi kwenda ArushaSegera to Chalinze!