Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
Kipande cha almasi cha pili kwa ukubwa duniani kimeshindikana kuuzwa katika mnada uliofanyika mjini London hapo jana, baada ya wazabuni waliohudhuria kutoimudu bei iliyopangwa.
Kipande hicho cha almasi kina ukubwa wa mpira wa tenisi, na kinakadiriwa kufika miaka milioni 70. Lesedi la Rona ambalo ndio jina la alamsi hiyo, ilichimbwa Botswana. Bei rasmi iliyopigiwa mnada ilikuwa ni dola milioni 70.