Kipande cha Almasi chashindikana kuuzwa


Rapherl

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
3,310
Likes
1,493
Points
280
Rapherl

Rapherl

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
3,310 1,493 280
Kipande cha almasi cha pili kwa ukubwa duniani kimeshindikana kuuzwa katika mnada uliofanyika mjini London hapo jana, baada ya wazabuni waliohudhuria kutoimudu bei iliyopangwa.
Kipande hicho cha almasi kina ukubwa wa mpira wa tenisi, na kinakadiriwa kufika miaka milioni 70. Lesedi la Rona ambalo ndio jina la alamsi hiyo, ilichimbwa Botswana. Bei rasmi iliyopigiwa mnada ilikuwa ni dola milioni 70.
uploadfromtaptalk1467279457370-jpg.361458
 
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
8,321
Likes
5,031
Points
280
Patrickn

Patrickn

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
8,321 5,031 280
Wanunuzi hawajaamua tu...mpelekeeni Dangote amnunulie wema sepetu
 
Shemtibuko

Shemtibuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
732
Likes
996
Points
180
Shemtibuko

Shemtibuko

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
732 996 180
Athari za BREXIT hizo, hakuna tajiri wa ulaya anaweza kutoa kiasi hicho msimu huu.
 
D

Destined to heaven

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2016
Messages
311
Likes
163
Points
60
D

Destined to heaven

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2016
311 163 60
Athari za BREXIT hizo, hakuna tajiri wa ulaya anaweza kutoa kiasi hicho msimu huu.
We nae brexit ndo inagawa hela yenyewe ya juzi tu sema kuna recession now kama hujui na kushuka kwa soko la oil kwa mda mrefu ina impact kubwa sana brexit itaongeza kiaina bt uchumi umeporomoka even b4 brexit.
 
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Messages
2,865
Likes
2,192
Points
280
mandella

mandella

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2011
2,865 2,192 280
mbona kama apesa kadogo saana , nadhani hawakumualika Donald Trumph kwenye hko kamnada .
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
22,788
Likes
10,922
Points
280
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
22,788 10,922 280
Ingekuwa imetoka tanzania hicho kipande kingeuzwa hata $mln 10 alafu cha juu wangechkua vigogo wa tz....
Nasikia mkuu mlimpiga mkaburu Tanzanite mkazunguka Arusha nzima hakuna wa kulinunua mpaka yule mkaburu akapata taarifa ha ha ha ha hatare sana cjui mliliuza bei gani atlast
 
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,866
Likes
2,728
Points
280
nzalendo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,866 2,728 280
najua kwmba maganzo zpo za kutosha bt nlikua nahtaj address ya huyo mzee tufanye biadhara
Lazima awali ya yote tukuapishe na manguvu ya giza ili usije tugeuka ...na ni gharama....njia ya mafanikio si nyepesi kama huna roho ngumu we potea kimya kimya.
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,485
Likes
4,237
Points
280
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,485 4,237 280
najua kwmba maganzo zpo za kutosha bt nlikua nahtaj address ya huyo mzee tufanye biadhara
So bure, wewe Ni wale wale, utakuwa Ni mmoja Kati ya wale wanaotaka kufanya uhalifu Mkubwa Sana hapa nchini
 

Forum statistics

Threads 1,235,740
Members 474,742
Posts 29,233,322