Kipaji cha kuchora kutoka Nigeria

Kipaji cha kuchora kutoka Nigeria

white hat

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
3,320
Reaction score
2,488
hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-fb__700-png.jpg

Huyu jamaa anaitwa Ken Nwadiogbu, ni mchoraji kutoka Lagos, Nigeria. Kama picha zinavyojieleza ametumia penseli tu

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65aec268382__700.jpg

Hapo chini mwonekano wa karibu wa hiyo picha ametumia penseli na peni tu
hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65b3cc28c37__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a659f525b355__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65af6612847__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a659f3e97318__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65b00c53128__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65b00645a1f__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65a48854bb6__700.jpg

BFkXfB_Gb0f-png__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a659fc20d784-jpeg__700.jpg

BDwWX_Lmb2s-png__700.jpg

BDwWds-mb26-1-png__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65ab611ed8f__700.jpg

BFkbKS3mb7r-png__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65a46991182__700.jpg

BDqIAfvmb78-png__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65ad2d62854__700.jpg

hyper-realistic-drawings-ken-nwadiogbu-nigeria-5a65a7f7e419d__700.jpg
 
tuache utani
kipaji cha kuchora au kipaji cha kucheza na picha zilizokwisha kupigwa?
 
tuache utani
kipaji cha kuchora au kipaji cha kucheza na picha zilizokwisha kupigwa?
nyingine huwa zinatoka kichwani bila kupigwa sehemu nakumbuka wakat tupo advance kuna jamaa alikuwa anamchora mwalimu wakati anafundisha sasa hapo utasemaje
 
tuache utani
kipaji cha kuchora au kipaji cha kucheza na picha zilizokwisha kupigwa?
Hamna picha iliyopigwa hapo zote ni kuchora. Hizo picha za watu kama wanachungulia zimekuchanganya, kilakitu hapo ni chakuchora.
 
nyingine huwa zinatoka kichwani bila kupigwa nakumbuka wakat tupo advance kuna jamaa alikuwa anamchora mwalimu wakati anafundisha sasa hapo utasemaje
Hamna picha iliyopigwa hapo zote ni kuchora. Hizo picha za watu kama wanachungulia zimekuchanganya, kilakitu hapo ni chakuchora.

kama myasemayo ni kweli hicho kipaji sio cha nchi hii ngoja nifuatilie zaid
 
Sasa kuna haja gani ya kuchora picha inayofanana na ile iliyopigwa kwa kamera,mi naonaga ni kupoteza tu muda.
 
Hiyo picha ya mkono na gazeti!! Na hilo gazeti kachora? kama ni kweli. Huyu ni azina kwenye hii dunia.
 
Sasa kuna haja gani ya kuchora picha inayofanana na ile iliyopigwa kwa kamera,mi naonaga ni kupoteza tu muda.
kwani huyo jamaa umeambiwa kachora kwa kukopi picha iliyopigwa au kachora kutoka kichwa?
hata kama amechora picha iliyopigwa lakini hebu angalia huo uhalisia alioutoa kwa kutumia penseli tu.
 
Hiyo picha ya mkono na gazeti!! Na hilo gazeti kachora? kama ni kweli. Huyu ni azina kwenye hii dunia.
hahahaha hadi hilo gazeti limechorwa uhalisia unafanya mpaka mtu unaweza kusema ni photo shop
 
Back
Top Bottom