Kipaji cha kuchora hiki ni cha kiwango kweli kweli

Kipaji cha kuchora hiki ni cha kiwango kweli kweli

Wanasomea ujue. Nilikuwa chuo fulani huko Canada nachugua degree, hapo room jirani alikuwepo jirani yangu mchina anasomea degree ya uchoraji.
 
Kila mtu na kipaji chake mwingine wakisema uchore samaki unachora kiazi utamu.
 
Wanasomea ujue. Nilikuwa chuo fulani huko Canada nachugua degree, hapo room jirani alikuwepo jirani yangu mchina anasomea degree ya uchoraji.
Hapa bongo ukisomea kuchora unaonekana kichaa hata demu hupati maana unaonekana kichwa yako inatatizo
 
Sanaa ya uchoraji naipenda mno ila siiwezi.

Pamoja na yote jamaa ana kipaji cha hali ya juu
 
Back
Top Bottom