Kioo cha simu tecno p5

Kioo cha simu tecno p5

gelevahekejr

Senior Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
120
Reaction score
16
anaejua vinapo uzwa vioo vya cm tecno p5 0785100151msaada wenu hata mwezi hauja isha
 
Mpigie jamaa huyu na umwambie tatizo ni nini atakufanyia kazi yako vizuri kwa bei isiyozidi 50,000/=,samahani kama ntakuwa nimewaudhi mliokuwa mna mpango wa kumkamua mshikaji 0714871841.
 
Mpigie jamaa huyu na umwambie tatizo ni nini atakufanyia kazi yako vizuri kwa bei isiyozidi 50,000/=,samahani kama ntakuwa nimewaudhi mliokuwa mna mpango wa kumkamua mshikaji 0714871841.

thanx mkuu
 
Simu yangu Tecno P5 imeua processor lkn kioo ni kizima,lete hela nikuuzie nipunguze machungu kdg,ina miezi 6 tu.
 
nenda tecno pale kariakoo watakutengenezea kwa bei nafuu kama tatizo ni la cm na wewe co chanzo watatengeneza bureeee warrant mwaka mmoja hiyo
 
Back
Top Bottom