Kioo cha nini chooni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kioo cha nini chooni?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Feb 25, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi kwenyePhamacy nyingi huwa naona wanaweka vioo, nikawa najiuliza hivi vioo vinamsaidia nini mgonjwa,sikupata JIBU. siku moja nikiwa chumbani kwenye hoteli fulani nikaingia chooni kujisadia,SALALEE!! Kuna bonge la kioo kama la futi tano kwa tano, yaani ukikaa kwenye choo unajiona moja kwa moja. Sasa jamani hiki kioo chooni wamekiweka ili tujiangalie tunapofanya "shughuli" au ili iweje?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe ulijiangalia/jiona ukiwa unafanya nini na nini?!?!

  Jibu lako ndio JIBU unalotafuta!!
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kweli Lizzy...
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lizzy acha masihara bwana! Yaani wanataka ujione unavyokunja sura au kusawajika?
   
 5. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mamaaa mbavu zanguuu ha ha ha ha....

  We Kigarama una hatari sana wewe...

  Labda nikuulize aina ya chakula unachokula..lazima si balanced diet...

  Ila itabidi nikodi taxi time hii straight to hospital..
   
 6. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  BD napiga lakini hakuna njia ya mkato kwenye ile shughuli... sasa ndiyo unakutana na kioo chooni si inakuwa balaa!!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ujiangalie unaposhusha mambo
   
 8. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mambo ya kwenda na wakati hayo, unatakiwa ujiangalie kabla na baada ya kukata gogo unakuaje? Kitambi kimepungua, au kipo vile2!
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Gogo lako unalokata,ni tofauti na magogo yetu... Yetu yako kama .... Mihadarati inavyokuwa sealed na nylon nyepesi... So soft... Mpaka na magazeti tunasomea humo.

  Fanya appoitment na watu wa nutrition haraka...
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  je kioo katika chumba cha kulalia...ukiwa mna...mnajitazama uwezo wenu...
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ili uweze kujiangalia ni jinsi gani ulivyoumbika
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ili ukimaliza shughuli ujisafishe,kutengeneza nguo vizuri kama kufunga zipu na mengine.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  huoni inaongeza fleva ya kutaga?

   
 14. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kila mtu na mtazamo wake , kwa mie hicho cha chooni, kina walau japo kinaweza leta msawajiko kwa muhusika.
  Mie kile kioo kiwekwacho Chumbani tena mkabala na kitanda !
  Hicho ndiyo kinikwazacho zaidi unajua wajihisura wa binadamu awapo msalani, ni tofauti kubwa na wakati ana'DO ?
  Utakubaliana nami ukim'photoa mtu snap wakati wa ejaculation ukija kumpa photo yake , atakuuliza huyu ni nani ?
  Na kumthibitishia kwmb ni yeye utalazimika uwe na ziada ya vigezo!
  U p o h a p o ?
   
 15. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Huyu Nylon mimi ndo babaangu jamani
   
 16. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kuna gogo ukilikata lazima chozi litoke so unajiangalia ukilia unakuaje!!
  MAPROSOO.
   
 17. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Aaaahaaa ulikuwa hujui huwa wanaweka two way mirrors vinaonesha huku na huku so kwa upande wa pili wa kioo kunakuwa na mtu ambae anaweza kukuona wewe wa upande mwingine.. Kwa hiyo mchakato wote uloufanya ulikuwa hadharani
   
 18. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  uliku.n.ya ukajiona?
   
 19. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bwana wewe ugali wa Muhogo na kisamvu!!
   
 20. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unaulizaje majibu wewe??
   
Loading...