Kiongozi wetu

Shauri

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
805
Reaction score
453


inaonekana anakubalika na baadhi ya wananchi,ilihali hali ya maisha ni ngumu kama jiwe







HAPA NAPO VIPI WADAU?MKP HAPA SIJUI NI KICHEKO AU KEBEHI!
 

Attachments

  • GO9G0292.JPG
    86.7 KB · Views: 59
sio kukubalika ni wale watu washamba ambao wanaona ujiko kupeana mkono na raisi hata kama hafai,wabongo sijui tukoje,mwingine picha hii hataitupa
 
Hawa si ndio Jakaya alisema hawakumpigia kura sababu ya Dini yake, kurikoni tena?? au ndio wanatibu majeraha ya uchaguzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…