Shauri JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 805 Reaction score 453 Mar 20, 2011 #1 inaonekana anakubalika na baadhi ya wananchi,ilihali hali ya maisha ni ngumu kama jiwe HAPA NAPO VIPI WADAU?MKP HAPA SIJUI NI KICHEKO AU KEBEHI! Attachments GO9G0292.JPG 86.7 KB · Views: 59
inaonekana anakubalika na baadhi ya wananchi,ilihali hali ya maisha ni ngumu kama jiwe HAPA NAPO VIPI WADAU?MKP HAPA SIJUI NI KICHEKO AU KEBEHI!
P Pomole JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 257 Reaction score 8 Mar 21, 2011 #2 sio kukubalika ni wale watu washamba ambao wanaona ujiko kupeana mkono na raisi hata kama hafai,wabongo sijui tukoje,mwingine picha hii hataitupa
sio kukubalika ni wale watu washamba ambao wanaona ujiko kupeana mkono na raisi hata kama hafai,wabongo sijui tukoje,mwingine picha hii hataitupa
T Taifa_Kwanza JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 443 Reaction score 88 Mar 21, 2011 #3 Hawa si ndio Jakaya alisema hawakumpigia kura sababu ya Dini yake, kurikoni tena?? au ndio wanatibu majeraha ya uchaguzi...
Hawa si ndio Jakaya alisema hawakumpigia kura sababu ya Dini yake, kurikoni tena?? au ndio wanatibu majeraha ya uchaguzi...
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Mar 21, 2011 #4 Anaomba msamaa mambo magumu!