Ujue wewe ni muongo, hivi mrembo kama mie dressing table ya nini? Paw akishanifunga zipu mgongoni basi naenda zangu, nna shanti tu kwenye bedside table. Unikome kabisa (nyumbani hatutumii pazia, tunatumia blinds. Ukajifunze uongo ccm banaa, unakosea sana)
wapi, Paw mie nina anti-drone missiles, sasa muulize nimejuaje kioo cha dressing table yake kimepasuka kidogo wakati upepo uliangusha curtain rod ikaangukia kwenye kioo. BTW King'asti, ulitafta fundi wa kukirudishia?