Kiongozi wa Simba kifungoni maisha kwa rushwa

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,680
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa klabu ya Simba yuko hatarini kufungiwa maisha kwa kujihusisha na rushwa katika pambano la watani wa jadi hapo Oktoba 2011.Alinaswa na viongozi wa Yanga akiwasiana na mchezaji Pius Kasambale ili awashirikishe wenzie waihujumu Yanga ifungwe.Mawasiliano hayo yalirekodiwa na yanatumika kama ushahidi katika uchunguzi unaoendelea wa TAKUKURU.Pia swala la Mwakingwe kutaka kumhonga Kado mwaka juzi limo pia kwenye uchunguzi wa TAKUKURU.Ndo soka fitna hiyo ya TZ.

Chanzo:Mwanaspoti 24/01/2012
 
Yupi huyo? Maana simba ina viongozi wengi sasa ya nini kumficha???????????????
 
Back
Top Bottom