Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Jun 23, 2011 #1 Yani Jamaa analala tu akija kuamka anajibu Pumba tupuuu hajui wapi wenzie waweishia wala wapi walianzia.....Magamba bana!
Yani Jamaa analala tu akija kuamka anajibu Pumba tupuuu hajui wapi wenzie waweishia wala wapi walianzia.....Magamba bana!
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Jun 23, 2011 Thread starter #2 sasa huyu anapewa sitting allowance au sleeping allowance? Hapo ukute linajamba tu!
Mzee Dogo JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 400 Reaction score 140 Jun 23, 2011 #3 Anangoja kupiga kura yake kupitisha posho zake na kuzomea wapinzani.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,046 Reaction score 9,344 Jun 23, 2011 #4 View attachment 32528 Na hawa ni walewale.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,847 Reaction score 13,818 Jun 23, 2011 #5 Mzee_Wa_Manyafu said: sasa huyu anapewa sitting allowance au sleeping allowance? Hapo ukute linajamba tu! Click to expand... Faida za recycling ministers inalala tu,ukiigusa mikali hiyo.
Mzee_Wa_Manyafu said: sasa huyu anapewa sitting allowance au sleeping allowance? Hapo ukute linajamba tu! Click to expand... Faida za recycling ministers inalala tu,ukiigusa mikali hiyo.
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 416 Jun 23, 2011 #6 Sijui ndio tumeishiwa watu wa kufanya hizi kazi?? Hili zee limepitwa na wakati kabisa kuwa kati utumishi wa umma sasa. Hivi unategemea akiamka hapo atoe mchango wa aina gani?
Sijui ndio tumeishiwa watu wa kufanya hizi kazi?? Hili zee limepitwa na wakati kabisa kuwa kati utumishi wa umma sasa. Hivi unategemea akiamka hapo atoe mchango wa aina gani?
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jun 23, 2011 #7 Huyu jamaa ni kinara wa kunywa gongo