Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Nikimpata wa hivyo namtega na kumla kiboga na hatalamba kitu....

 
Mke wake anaendeshwa na SU nyekundu v8 toyota landcruizer
 
Unaniogopa kwa lipi mkuu mimi ni mkulima wa kilimo cha kujikimu karibu kusini tulime korosho

Ni vile tunaguswa na kazi nzuri ya magufuli tu tumeshindwa kukaa kimya
Anafanya kazi nzuri kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati

Sina kitu mimi

😰😰😰 brother mie sina tatizo... nipo chini ya miguu yenu... sijui kitu kabisa na sio mwanasiasa .. sina mtoto bado jamanii... hata mimi naguswa na kazi nzuri ya Lahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…