MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,604
usikute wewe ndio membe mwenyewe.membe alikuwa chaguo la wahindi
Na mafisadi
Tiss haijwahi kusimama na huyo mzee asiye jua anataka nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usikute wewe ndio membe mwenyewe.membe alikuwa chaguo la wahindi
Na mafisadi
Tiss haijwahi kusimama na huyo mzee asiye jua anataka nini
Amini nakwambia ....umeuziwa feki mkuu
Anakuambia wewe uache kuvalishwa Shanga.Unamwambia nani sasa? Na ili iweje?
Ooh mzee huntakii mema wewe etii
Membe ndio chaguo la TISS toka 2015...hili hata JPM nalijua.. na ndio maana ameunda makundi huko, ili kudhoofisha baadhi ya makundi, na alianza kwa kuwatawanya wote walio ikulu..
Note: Mimi sio tiss wala informer haya niliyasikiaga huko bar... maana ma informer wa humu wa jinga sana, wanapenda sana kutumiana pm za kujidai mademu ili mtu aingie kingi
usikute wewe ndio membe mwenyewe.
Mke wake anaendeshwa na SU nyekundu v8 toyota landcruizerHuyo jamaa kadanganya huyo kwenye picha anaitwa Mahamudu Mringo, aliwahi kua naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni na ni mmiliki wa Shule/Vyuo binafsi zinaitwa Paradigms, mke wake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Usalama Mahali pa kazi kwa kifupi OSHA
Weee nakuogopaaa... hata ID au account yako ipo tofauti na zingine
Unaniogopa kwa lipi mkuu mimi ni mkulima wa kilimo cha kujikimu karibu kusini tulime korosho
Ni vile tunaguswa na kazi nzuri ya magufuli tu tumeshindwa kukaa kimya
Anafanya kazi nzuri kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati
Sina kitu mimi
sure nimeona jamaa amejiwekea wasifu wakipekee kabisaID yake ipo tofauti na sie wote ngoja ni report kwa Maxence Melo ... pale panapo tofautisha kama ni senior member au expert yeye kaweka maneno yake...
ngoja mimi nikaagize masenaries kutoka CubaAmini nakwambia ....
Leo nmeagiza nuke moja hivi
sure nimeona jamaa amejiwekea wasifu wakipekee kabisa
usikute wewe ndio membe mwenyewe.
"All you motherfuc**rs, f**k you too'...Chinno XL fkcu you too
brother mie sina tatizo... nipo chini ya miguu yenu... sijui kitu kabisa na sio mwanasiasa .. sina mtoto bado jamanii... hata mimi naguswa na kazi nzuri ya Lahisi
Huyu ... huu wuzi hatupo salama kabusa kabusaa... wenyewe wapo kazini hapa ila nimeisha report kwa Maxence Melo
Anawaambia wahanga wa "Watu Wasiojulikana." Kwani nawe unauliza ili iweje?Unamwambia nani sasa? Na ili iweje?
ngoja mimi nikaagize masenaries kutoka Cuba
jibu rahisi kweli mkuu kama umemeza lotionKama kuna Tatizo kwenye I'd yangu nafikiri wao Ndio Tatizo
Mimi raia mwema
we jamaa unanifirahisha watu wa usalama hawewezi ku coment ni sisi tunaparuana tu