Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
167
Points
1,000
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
167 1,000
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
 
F

funza

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
7,279
Points
2,000
F

funza

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
7,279 2,000
Hakunaa mteule wa JIWE ambaye kachoka Huyo Mnyeti ni Bilionea wa hatari ana fedha kama MCHANGA fuatilia mkuu utaniambia,Utajiri wao wanaupata kutoka kwa wafanyabiashara kwa kuwablackmail na pia kuwafavor/kuwakingia kifua wafanye biashara smooth.
Wenye dhamana kwenye utawala huu wameitumia fursa za vitisho toka juu,blackmail zinatumika kwa kiwango cha kutisha siku magufuli akizinduka aanze kuwachunguza wasaidizi wake nina imani atazimia kwa mshangao wa mali zao
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,837
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,837 2,000
Hahaha naona Bujibuji ukweli unachoma moyo kama mkuki, hahaha, mna hangaika mno. Utendaji wa serikali ya awamu ya tano umewapagawisha kinoma, poleni. Ila ndiyo hivyo, Dkt Magufuli ni rais wa mioyoni mwa watanzania mpaka 2025, na tukiona vipi tutaandamana ili aongezewe mingine mitano
Jikite kwenye mada kifo cha mnyama
 
Kasimba G

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
3,073
Points
2,000
Kasimba G

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
3,073 2,000
M
Mringo ni jina la mtaani ni jina bandia lakini jina lake halisi ni nyaulingo
Muongo mkuubwa Mkuu, Nyaulingo ni mhehe na Mringo Mpare mfanyabiashara wa migahawa na shughuli nyingine, former Diwani, Nyaulingo ni hivyohivyo asiyejurikana!!!
 
P

Poa 2

Senior Member
Joined
Jul 7, 2019
Messages
102
Points
250
P

Poa 2

Senior Member
Joined Jul 7, 2019
102 250
Ccm ikifa si ndio furaha yenu?,unakonda nini wewe kapuku,au ndio hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi?
Jina la ccm kufa sio tatizo hata kama wewe utachukia utakuwa unajichosha tu. Muhimu ni kwamba sera za ccm zinaendana na mazingira ya sasa haiwezekani chama chá kudai
Ongeza volume kidogo.
😅😅😅😅😅
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,106
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,106 2,000
Alafu kwenye hii thread ukipost comment, ukiona imepata like nyingi sana, usishangae ukaanza kutafutwa na wasio julikana... ujue umepiga pa kweli kweli wakati wenzako walifikiri utani utani
Mi siwaogopi

Na rocket ranger zangu tatu nmenunua dark web jana

Nipo nawasubiri hapa
Cc Bujibuji
 

Forum statistics

Threads 1,325,699
Members 509,266
Posts 32,199,856
Top