Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
167
Points
1,000
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
167 1,000
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,106
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,106 2,000
Hahaha naona Bujibuji ukweli unachoma moyo kama mkuki, hahaha, mna hangaika mno. Utendaji wa serikali ya awamu ya tano umewapagawisha kinoma, poleni. Ila ndiyo hivyo, Dkt Magufuli ni rais wa mioyoni mwa watanzania mpaka 2025, na tukiona vipi tutaandamana ili aongezewe mingine mitano
Hivi wachawi wameanza kuwanga mchana

Eeh wanajiamini

Cc Bujibuji
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,269
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,269 2,000
Hajawahi kusaliti democracy ila democracy sio usiliti wala matusi kwa mamlaka..ukifanya hivyo lazima utashughulikiwa kwa Mujibu wa sheria..
Nani anamtukana mtu hapa. Ukitamka mwenyewe wewe ni mwamba nami nikarudia kukuita mwamba, nitakuwa nimekutukana ?!.

Tusikimbie vivuli vyetu.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
18,824
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
18,824 2,000
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
Tuliza mshono dogo,povu la nini kama yule aliyeokotwa jalalani?
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,798
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,798 2,000
Uzi unapoteza uhalali sasa kwañi picha zinazomwagwa humu ni za Diwani M Mringo hajawahi kuwa mnaa, na kwa kina Nyaulingo hapa jirani Makole hamna dalili wala mshtuko wa kuuguza, wekeni picha hata ajali au hizo magazine, kuuhalalisha uzi la sivyo ni ushabiki wa kisiasa ma si wa kiJF
M

Muongo mkuubwa Mkuu, Nyaulingo ni mhehe na Mringo Mpare mfanyabiashara wa migahawa na shughuli nyingine, former Diwani, Nyaulingo ni hivyohivyo asiyejurikana!!!
Nyai
 
B

bonabana

Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
81
Points
150
B

bonabana

Member
Joined Mar 5, 2016
81 150
Huu Uzi umevunja rekodi Tangu kuanzishwa JFs
Mmeona Eeeeeh, namchukua nafasi hii KUKUPONGEZAEX SPY, iwe jamaa kafa kavunjika miguu shauli zake umewakomesha wenye njaa zao wamekuleta mambo ya cod umewamudu wamekimbia pia niwapongoze jamii forums kwa kuuacha uzi huu utambae hadi u nakalibia 1k.salaam pia ziwafikie Lumumba.
 
Mikocheni Junction

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Messages
1,151
Points
2,000
Mikocheni Junction

Mikocheni Junction

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2019
1,151 2,000
membe alikuwa chaguo la wahindi
Na mafisadi

Tiss haijwahi kusimama na huyo mzee asiye jua anataka nini
Membe ndio chaguo la TISS toka 2015...hili hata JPM nalijua.. na ndio maana ameunda makundi huko, ili kudhoofisha baadhi ya makundi, na alianza kwa kuwatawanya wote walio ikulu..

Note: Mimi sio tiss wala informer haya niliyasikiaga huko bar... maana ma informer wa humu wa jinga sana, wanapenda sana kutumiana pm za kujidai mademu ili mtu aingie kingi
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
41,349
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
41,349 2,000
Uzi unapoteza uhalali sasa kwañi picha zinazomwagwa humu ni za Diwani M Mringo hajawahi kuwa mnaa, na kwa kina Nyaulingo hapa jirani Makole hamna dalili wala mshtuko wa kuuguza, wekeni picha hata ajali au hizo magazine, kuuhalalisha uzi la sivyo ni ushabiki wa kisiasa ma si wa kiJF Nyai
Diwani mringo mzee Wa vyupaazz
Jf attchmnt wanachemsha wanaweka picha tofauti unaoendana na uzi inayoletwa
Paw

Ova
 
Malujo

Malujo

Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
99
Points
125
Malujo

Malujo

Member
Joined Aug 11, 2018
99 125
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
Unamwambia nani sasa? Na ili iweje?
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,798
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,798 2,000
Mzagila mwanyaulingo mhehe wa Nyabula is alive & well.Huyu ni mhehe mwenzetu Iringa ameaga.Bahati mbaya wapashaji hbr wenu wanawapotosha hana Fracture yoyote ready to be discharged home.
huenda kuna kaukweli hapo lkn mbona picha nyingine inatembea? hizi siasa zitaharibu Jukwaa la Siasa
 

Forum statistics

Threads 1,325,698
Members 509,266
Posts 32,199,847
Top