Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Jiwe bwana au Kuwa alimtelekeza huyo EN baada ya kupata muuaji mbadala Wa bei rahisi asiyetaka pensheni yaani mheshimiwa covid 19
 
Kwa taarifa ya uhakika nilonayo huyu jamaa kwasasa yuko fit 98% na amerud kwenye makaz yake *** ambako alipotea kwa muda sana baada ya hii ajali.
Yuko fit haswa na hii ni baada ya kutoka mafichon pale makumbusho.

A close frnd of mine ambaye ni jiran yake pale mtaani ndio kanitonya hii kitu almost a month sasa na wameonana na huyu "bwanamzee" face to face wakasalimiana
 
Hatimaye mgonjwa wetu kiongozi wa wasiojulikana Bwana Ephraim Nyaulingo kafa kama wanavyokufa wengine kweli unaua wenzio kumbe nawe siku yako inafika unakufa kwa maumivu mengi bila kujielewa.
Mshkaji karud mtaan yuko fit haswaa almost a mon ss.Though inasemekana anaweza asirud kwenye field operation lakin yuko 98% fit na wadau washamuona na kupiga nae story.Na family yake pia kwasasa imeonekana kurud mtaani baada ya muda flan ku disapear baada ya ile accident
 
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
T L aliisharudi? Ahahahahahahh!
 
Back
Top Bottom