Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined
Jan 15, 2007
Messages
167
Points
1,000
Ex Spy

Ex Spy

Senior Member
Joined Jan 15, 2007
167 1,000
Naam,

Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.

Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.

Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.

Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.

Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.

Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.

Eid Mubarak
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,447
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,447 2,000
we jamaa unanifirahisha watu wa usalama hawewezi ku coment ni sisi tunaparuana tu
Brother yameisha kazi njema.. mie nampenda Rais wangu kama unavyo mpenda wewe... tupo pamoja kabisa boss wangu mkuu chief😰😰😰
 
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined
Dec 12, 2007
Messages
755
Points
1,000
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined Dec 12, 2007
755 1,000
Kupata ajali siyo kitu cha ajabu.But the good news yuko fit hayo ya kuvunjika miguu ohooo kafa ni kelele za wajinga wachache.By the way wewe umekua kitengoni so sijui nin kigeni kwako mpk ushadadie huo upupu
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.

Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.

Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.

Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
115,965
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
115,965 2,000
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,109
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,109 2,000
brother mie sina tatizo... nipo chini ya miguu yenu... sijui kitu kabisa na sio mwanasiasa .. sina mtoto bado jamanii... hata mimi naguswa na kazi nzuri ya Lahisi
Hahahhahaa

Nmecheka mpaka nimedondoka

Kijana hebu acha haya mambo
 
Lyaule Kitundu

Lyaule Kitundu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
238
Points
250
Lyaule Kitundu

Lyaule Kitundu

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
238 250
Hi

yo ip yake naweza ku guess anachomaanisha

46-mwaka aliozaliwa

69- mwaka aliokuwa recruited na spoted for the first time

71- toka 69 alkua mafunzoni sasa akamliza huo mwaka inawezakana ipo hvyo

92- either ......

Eeh ya nn kuchosha bongo yangu ngoja nlake na we acha umbeya
Membe
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
13,109
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
13,109 2,000
Unaniogopa kwa lipi mkuu mimi ni mkulima wa kilimo cha kujikimu karibu kusini tulime korosho

Ni vile tunaguswa na kazi nzuri ya magufuli tu tumeshindwa kukaa kimya
Anafanya kazi nzuri kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati

Sina kitu mimi
Hapana mkuu

Tushakujua !
 
N

Nietzsche

Senior Member
Joined
Dec 5, 2014
Messages
149
Points
250
N

Nietzsche

Senior Member
Joined Dec 5, 2014
149 250
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.

Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.

Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.

Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.
🤔🤔🤔👏👏👏👏🤛✊
 
C Plus Plus

C Plus Plus

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,395
Points
2,000
C Plus Plus

C Plus Plus

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,395 2,000
Yaani kwa akili zako unategemea kuna mtu wa kupoteza muda kukushawishi uamini?

Kama huyo Nyaulingo hajapata ajali ajitokeze basi kukanusha. It is that simple! Otherwise, you fools need to shut the f*ck up!
wewe ni nani hadi ajitokeze....
nachagua kukupuuza!
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
12,650
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
12,650 2,000
Tatizo kubwa linaloikabili Idara ni uwepo wa vichwapanzi kama ninyi. Tangu habari ya Nyaulingo ilipoanza kusambaa mmeshindwa kabisa kuwa na consolidated strategy ya kudili nayo. Wengi wenu mnakimbilia kuhangaika na messengers badala ya message. Huku baadhi yenu mnakiri "anakuwa discharged" which indirectly ina-prove kuwa something did indeed happen to him, wengine are trying to refute the whole story.

Hiyo profession haiitwi INTELLIGENCE kama urembo. It means using INTELLIGENCE as in AKILI. Unfortunately most of you have none.

Mmefeli sana katika hii issue kwa sababu this is information warfare, the winners are ones who could make a particular story go viral regardless of ukweli/uongo wake.

Ujumbe ambao sio tu umefika bali pia umesambaa ni huu: PEOPLE HATE YOU IDIOTS WITH PASSION. No wonder most wanawaombea majanga. It's a wake-up call. Mbadilike. Tumikieni taifa badala ya mtu.
wewe mkuu kalime kilimo cha biringanya utatoka.

uwepo wa vilaza tiss unarekebishwa, ndio maana walianza na watu kama wewe.

huu upuuzi wa kutamani mabaya yawakute watu fulani ni njia ya kujifariji,majanga yanamkuta yeyote.hata wewe na pamoja na kupendwa sana na familia yako unaweza vunja mkono pia,sio kwa sababu unapiga sana watu.
 
Forum statistics

Threads 1,325,719
Members 509,275
Posts 32,200,705
Top