Kiongozi wa Kanisa la Shield of Faith Christian Fellowship Askofu Mulilenge Mkombo anashikiliwa tangu January 19 mwaka huu bila kufunguliwa kesi

mwenye kutafta huruma/ kiki/jina ama ujiko na atafte ila hilo haliondowi haki ya kuwafanya watu wasitie neno, kuunga, kupaza sauti na kupinga palipo na ukiukwaji wa haki ya mtu, hata kama ungekuwa wewe fala tungesema
Wasio mafala kabla ya kupinga jambo hutafuta taarifa zaidi kulihusu. Usiwe fala!
 
Kwenye uchunguzi haha mambo ya kumshikilia mtu kwa muda mrefu yapo sn, na sio kila swala linalochunguzwa utapelekwa mahakamani ndan ya hayo masaa 24, hasa chunguzi zinazohusu usalama wa Nchi na maswala ya uhujumu uchumi kwahiyo huyo mtu akae tu
 
mwenye kutafta huruma/ kiki/jina ama ujiko na atafte ila hilo haliondowi haki ya kuwafanya watu wasitie neno, kuunga, kupaza sauti na kupinga palipo na ukiukwaji wa haki ya mtu, hata kama ungekuwa wewe fala tungesema
Hata hao waliokuja kutufundisha kuhusu kuheshim haki za binadamu kwenye mambo yanayohusu usalama wa Nchi zao wanawashikilia watuhumiwa kwa vipindi virefu, na hii inatokea kama kuachiwa mtuhumiwa kutaharibu upelepelezi
 
Serikali imchukie huyo mkongo kwa lipi hasa? Acheni vyombo vya usalama vifanye kazi,msilete u bush lawyer hapa, vinginevyo nendeni mkasaidiane na wakili wake!
[/quothChuki nilimaanisha zako wewe binafsi. Labda uliuziwa mafuta akapata hela ndefu. Inakuuma kiasi cha kujitoa ufahamu. Serikali kumchukia huyo Mkongo inaweza. Kukiwa na sababu. Kuna sababu za kweli na za kubumba. Za kweli hata mahakama ingeziona. Lakini mahakama ikamwachia huru. Serikali inamng'ang'ania kwa sheria ipi? Hapo sasa zinakuja sababu za kubumba: chuki binafsi, komoakomoa, n.k. Mahakamani hazitajwi. Sababu za kweli hazipo. Wanafanyia kazi sababu za kubumba tu. Vinginevyo wangekata rufaa. Wakili wake tumsaidie nini? Aliwabwaga mahakamani. Sehemu ya kazi ya wakili ni mahakama. Yatosha tu kusema wanamwogopa wakili wake. Na hapo ndipo anajulikana bush lawyer ni nani!!!
 
Back
Top Bottom