Kiongozi wa Kanisa la Shield of Faith Christian Fellowship Askofu Mulilenge Mkombo anashikiliwa tangu January 19 mwaka huu bila kufunguliwa kesi

Kisa cha Askofu huyu kipo kwenye uzi huu. Japo ni cha zamani sana.

Askofu Mkombo mulilege aka Mzee wa yesu wa Boko magengeni. Ana miliki shule ya sekondari huko Mbarali, mabasi aina ya eicher kadhaa kiufupi ni mtu tajiri.
IMG-20190521-WA0000.jpeg
 
Ni kwa sababu huna a, b, c za mambo ya usalama. Haya mambo hata kwa nchi kongwe katika masuala ya kutii katiba yapo. Serikali ndio inajua ina deal na mtu wa namna gani, Haijakurupuka!
Kuna wakato watu wajiulize kama kila kitu ni wimbo wa dwmokrasia nz sheeia kwanini gereza la Guantanamo bay la wamarekani lilikuwa na wafungwa?
 
Sasa hilo kawaulize wanaomshikilia, lakini kwamba anashikiliwa sio jambo la ajabu, kwani mahakama inaweza kukuachia huru hal

Unatumia vifungu gani kufikia hitimisho hilo? Wewe ni wakili wake maana wakili wake atakuwa anaelewa zaidi!
Na wewe unaetetea ukandamizaji ni nani?
 
Anaandika Malisa

Kiongozi wa Kanisa la Shield of Faith Christian Fellowship, Askofu Mulilenge Mkombo Kameka anashikiliwa tangu January 19 mwaka huu bila kufunguliwa kesi yoyote kinyume na sheria za nchi zinavyotaka. Askofu Kameka alikamatwa na kuwekwa mahabusu bila kutajiwa makosa yake mapema mwaka huu.

Alifungua kesi mahakamani na tarehe 18 March mwaka huu, Mahakama kuu chini ya Jaji Ilvin Claud Mugeta iliamuru Askofu Kameka aachiwe huru kwa sababu anashikiliwa kinyume cha sheria. Hata hivyo ameendelea kushikiliwa hadi nilipopewa taarifa hii.

Ni jambo la kuogofya kama mamlaka za serikali zimefikia mahali pa kudharau mahakama kiasi hiki. Lakini ni jambo la kuogofya zaidi kama Maaskofu, Masheikh na Wachungaji nchini wapo kimya wakati Askofu huyu akikaribia kumaliza nusu mwaka gerezani bila kushtakiwa kwa makosa yoyote. Kama kuna makosa amefanya ni vizuri yawekwe hadharani, na ashtakiwe sio kumshikilia kinyume na sheria.

Utaratibu wa kuwashikilia watu bila kuwashtaki ni utaratibu wa kiimla ulioasisiwa na serikali za kifashisti na za kikoloni. Moja ya sababu zilizouangusha ukoloni sehemu nyingi duniani ni "Detention without trial" yani kumuweka mtu kizuizini bila kumfungulia mashtaka.

Askofu huyu amewahi kutuhumiwa na kushitakiwa kwamba si raia lakini akashinda kesi. Kama serikali haikuridhika ni vizuri ikate rufaa kwa kutoa vielelezo vinavyoonesha kwamba si raia, na sio kumshikilia bila kesi.

Maaskofu wapaze sauti kwa huyu mwenzao. Wachungaji, mapadri, masheikh walie pamoja na waumini wa Askofu huyu. Waandishi wa habari waipe kipaumbele habari hii. Ni aibu kuwa Askofu anaweza kushikiliwa miezi 6 na hakuna 'main stream' yoyote iliyotoa uzito wa habari hii. Kazi ya media ni nini kama mnashindwa kuwa sauti ya wasio na sauti?

Wanaharakati na wanasheria please assist this Bishop to access justice. Tusijione tupo salama. Leo ni Askofu Kameka, kesho hatujui ni nani atafuata.

Wakati Yesu anasulubiwa alisema "ikiwa wameutenda hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu?" Jiulize kama Askofu anaweza kukaa "detention" miezi 6, wewe ni nani usifie jela? We must stand firmly condeming these injustice phenomena. Tusiposhikamana kukemea vitendo hivi vya kinyama tujiandae kuwa victim wa kesho.!View attachment 1103178
Kusoma hujui hata Picha, auoni?
issue yake hata yeye mwenyewe anajua ni kuhusiana na immigration, kama yeye alivyo apply hapo juu, wewe unataka kuonyesha ana shikiliwa "kisiasa". yeye kama anaona ana onewa si aombe unhrc wamrudishe kwao
 
Nini maana ya utawala wa sheria,kila mhimili unapashwa kuheshimu mhimili mwingine vinginevyo tunazalisha Ba
Katika hili umeona kuna kutokuheshimiana kwa mihimili? Tangu uzaliwe ndo umesikia Leo mahakama inamwachia huru mtu kisha mtu huyo huyo anakamatwa tena? Usiwe mwepesi kulaumu bila kuujua undani wa jambo!
 
yaani kama mpaka dk hujui ni mahakama pekee na hao nilokutajia juu wamepewa mamlaka ya 48 hrs,basi wewe kamwe hutokuja kujua, na hujui na kama hujui, unajifanya unajua kumbe unjua ujinga tu, na kwa vile ulikalilishwa ujinga basi hulipokea ujinga pasipo kujipa muda wa kujilizisha,baki na ujinga wako, na usiendelee kuongea ujinga wako kwa watu waelewa fala wewe
Ujinga na ufala umekujaa wewe! Ngoja nikupe shule kidogo. Wewe fala inaweza kuachiwa huru na mahakama na ukitoka tu nje ya mahakama polisi wanakukamata tena na hawaombi ruhusa ya mahakama wanaondoka na we we kisha wanakupiga mahabusu kabla ya kuendelea mambo mengine. Usikariri we fala!
 
ni jambo jema kupata makando yake. ila hilo halimwondolei haki ya kutohukumiwa kabla ya mahakama. hata kama ana makando mengi zaidi ya tani anatakiwa kupelekwa mahakani ili mahakama ikiona inafaa ahukumiwe na awekwe gereza. kama mahakama itaona haifai aachiwe huru aendelee na maisha yake
Nani kakwambia hajapelekwa mahakamani?
 
Anaandika Malisa

Kiongozi wa Kanisa la Shield of Faith Christian Fellowship, Askofu Mulilenge Mkombo Kameka anashikiliwa tangu January 19 mwaka huu bila kufunguliwa kesi yoyote kinyume na sheria za nchi zinavyotaka. Askofu Kameka alikamatwa na kuwekwa mahabusu bila kutajiwa makosa yake mapema mwaka huu.

Alifungua kesi mahakamani na tarehe 18 March mwaka huu, Mahakama kuu chini ya Jaji Ilvin Claud Mugeta iliamuru Askofu Kameka aachiwe huru kwa sababu anashikiliwa kinyume cha sheria. Hata hivyo ameendelea kushikiliwa hadi nilipopewa taarifa hii.

Ni jambo la kuogofya kama mamlaka za serikali zimefikia mahali pa kudharau mahakama kiasi hiki. Lakini ni jambo la kuogofya zaidi kama Maaskofu, Masheikh na Wachungaji nchini wapo kimya wakati Askofu huyu akikaribia kumaliza nusu mwaka gerezani bila kushtakiwa kwa makosa yoyote. Kama kuna makosa amefanya ni vizuri yawekwe hadharani, na ashtakiwe sio kumshikilia kinyume na sheria.

Utaratibu wa kuwashikilia watu bila kuwashtaki ni utaratibu wa kiimla ulioasisiwa na serikali za kifashisti na za kikoloni. Moja ya sababu zilizouangusha ukoloni sehemu nyingi duniani ni "Detention without trial" yani kumuweka mtu kizuizini bila kumfungulia mashtaka.

Askofu huyu amewahi kutuhumiwa na kushitakiwa kwamba si raia lakini akashinda kesi. Kama serikali haikuridhika ni vizuri ikate rufaa kwa kutoa vielelezo vinavyoonesha kwamba si raia, na sio kumshikilia bila kesi.

Maaskofu wapaze sauti kwa huyu mwenzao. Wachungaji, mapadri, masheikh walie pamoja na waumini wa Askofu huyu. Waandishi wa habari waipe kipaumbele habari hii. Ni aibu kuwa Askofu anaweza kushikiliwa miezi 6 na hakuna 'main stream' yoyote iliyotoa uzito wa habari hii. Kazi ya media ni nini kama mnashindwa kuwa sauti ya wasio na sauti?

Wanaharakati na wanasheria please assist this Bishop to access justice. Tusijione tupo salama. Leo ni Askofu Kameka, kesho hatujui ni nani atafuata.

Wakati Yesu anasulubiwa alisema "ikiwa wameutenda hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu?" Jiulize kama Askofu anaweza kukaa "detention" miezi 6, wewe ni nani usifie jela? We must stand firmly condeming these injustice phenomena. Tusiposhikamana kukemea vitendo hivi vya kinyama tujiandae kuwa victim wa kesho.!View attachment 1103178
UMAFIA WA ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO AU MKOMBO MUYUNDI FIDEL
Bw. MUKOMBO MUYODI (ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO) amezaliwa tarehe 4/04/1963 eneo la BUTUMBA zone ya BUKAMA jimbo la KIMAKONDOLA nchi ya DRC.
 
unaulizwa swali?, kama ni swali jibu lake ni kwamba kupelekwa mahakamani alipelekwa akashinda na ikaamuliwa aachiliwe huru. Swali jingine!
Kwahiyo kama mahakama imemwachia huru ni marufuku polisi kumkamata huyo mkongo kama wanaona kuna sababu za kufanya hivyo? Peleka basi u bush lawyer wako huko mahakamani ukamtoe!
 
Kuna mashushu/magaidi wengi wamekamatwa nchi zisizo zao wakaishia kushtakiwa na kufungwa sio kuwekwa KIZUIZINI
UMAFIA WA ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO AU MKOMBO MUYUNDI FIDEL
Bw. MUKOMBO MUYODI (ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO) amezaliwa tarehe 4/04/1963 eneo la BUTUMBA zone ya BUKAMA jimbo la KIMAKONDOLA nchi ya DRC.
 
Ujinga na ufala umekujaa wewe! Ngoja nikupe shule kidogo. Wewe fala inaweza kuachiwa huru na mahakama na ukitoka tu nje ya mahakama polisi wanakukamata tena na hawaombi ruhusa ya mahakama wanaondoka na we we kisha wanakupiga mahabusu kabla ya kuendelea mambo mengine. Usikariri we fala!
ungekuwa na akili ungekuwa umeelewa content nzima ya nini tunakipinga ila kwa vile hujitambui unakuja mazima mazima pasipo kuwazua watu hawa wanapinga kitendo gani?, ila kwa vile hujielewi njoo mazima mazima nikuzalishe mjinga wewe
 
Unapinga nini we fala? Unaweza kupinga kitu usichokielewa? Hapo ulipo huna uelewa wa kutosha wa jambo hili, wewe umeona hicho kikaratasi kimoja kilichobandikwa hapa eti unaanza kupinga. Ungekuwa na akili usingeingia kwenye mtego wa watu wanaotafuta sympathy kwa audience (ujanja ujanja wa kizamani), na badala yake ukitafuta package nzima ya suala lenyewe. Umeelewa we fala?
 
Anaandika Malisa

Kiongozi wa Kanisa la Shield of Faith Christian Fellowship, Askofu Mulilenge Mkombo Kameka anashikiliwa tangu January 19 mwaka huu bila kufunguliwa kesi yoyote kinyume na sheria za nchi zinavyotaka. Askofu Kameka alikamatwa na kuwekwa mahabusu bila kutajiwa makosa yake mapema mwaka huu.

Alifungua kesi mahakamani na tarehe 18 March mwaka huu, Mahakama kuu chini ya Jaji Ilvin Claud Mugeta iliamuru Askofu Kameka aachiwe huru kwa sababu anashikiliwa kinyume cha sheria. Hata hivyo ameendelea kushikiliwa hadi nilipopewa taarifa hii.

Ni jambo la kuogofya kama mamlaka za serikali zimefikia mahali pa kudharau mahakama kiasi hiki. Lakini ni jambo la kuogofya zaidi kama Maaskofu, Masheikh na Wachungaji nchini wapo kimya wakati Askofu huyu akikaribia kumaliza nusu mwaka gerezani bila kushtakiwa kwa makosa yoyote. Kama kuna makosa amefanya ni vizuri yawekwe hadharani, na ashtakiwe sio kumshikilia kinyume na sheria.

Utaratibu wa kuwashikilia watu bila kuwashtaki ni utaratibu wa kiimla ulioasisiwa na serikali za kifashisti na za kikoloni. Moja ya sababu zilizouangusha ukoloni sehemu nyingi duniani ni "Detention without trial" yani kumuweka mtu kizuizini bila kumfungulia mashtaka.

Askofu huyu amewahi kutuhumiwa na kushitakiwa kwamba si raia lakini akashinda kesi. Kama serikali haikuridhika ni vizuri ikate rufaa kwa kutoa vielelezo vinavyoonesha kwamba si raia, na sio kumshikilia bila kesi.

Maaskofu wapaze sauti kwa huyu mwenzao. Wachungaji, mapadri, masheikh walie pamoja na waumini wa Askofu huyu. Waandishi wa habari waipe kipaumbele habari hii. Ni aibu kuwa Askofu anaweza kushikiliwa miezi 6 na hakuna 'main stream' yoyote iliyotoa uzito wa habari hii. Kazi ya media ni nini kama mnashindwa kuwa sauti ya wasio na sauti?

Wanaharakati na wanasheria please assist this Bishop to access justice. Tusijione tupo salama. Leo ni Askofu Kameka, kesho hatujui ni nani atafuata.

Wakati Yesu anasulubiwa alisema "ikiwa wameutenda hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu?" Jiulize kama Askofu anaweza kukaa "detention" miezi 6, wewe ni nani usifie jela? We must stand firmly condeming these injustice phenomena. Tusiposhikamana kukemea vitendo hivi vya kinyama tujiandae kuwa victim wa kesho.!View attachment 1103178
uko negative negative Pamoja na huyu mchungaji wako ishara mbaya, lazima akae huko
 
Unapinga nini we fala? Unaweza kupinga kitu usichokielewa? Hapo ulipo huna uelewa wa kutosha wa jambo hili, wewe umeona hicho kikaratasi kimoja kilichobandikwa hapa eti unaanza kupinga. Ungekuwa na akili usingeingia kwenye mtego wa watu wanaotafuta sympathy kwa audience (ujanja ujanja wa kizamani), na badala yake ukitafuta package nzima ya suala lenyewe. Umeelewa we fala?
mwenye kutafta huruma/ kiki/jina ama ujiko na atafte ila hilo haliondowi haki ya kuwafanya watu wasitie neno, kuunga, kupaza sauti na kupinga palipo na ukiukwaji wa haki ya mtu, hata kama ungekuwa wewe fala tungesema
 
We jamaa mbona unashindwa kutafakari mambo yaliyopo mbele yako. Kwani akikaa huko wewe binafsi unafaidika nn? Je akiachiwa hutageuka tena msimamo wako. Tamaa za madaraka na vyeo zinawapofusha kabisa akili zenu
uko negative negative Pamoja na huyu mchungaji wako ishara mbaya, lazima akae huko
 
Acha serikali ifanye mambo yake. Huyo mkongo, alitoroka jeshini, akatelekeza na mke, akaingia Tanzania, akanunua wazazi feki huko Mbozi. Utakuwa unazungumzia huyu Mkombo aliyekuwa hapa Mbeya eneo la Pambogo, badaye akaja huko Dar es Salaam akaanzisha kanisa eneo la Boko. Akaanza biashara ya kuuzia watu mafuta kanisani akapiga hela za kutosha. Kwa huyo temea mate chini. Acha serikali ifanye kazi.
Eti mleta uzi anafikiri serikali ni kama saccos yao
 
Back
Top Bottom