Zitto saizi yake ni Bavicha. Kiongozi yeyote wa Bavicha anaweza kupiga mkutano na kuhutubia maelfu ya watu bila kutegemea viongozi wa kitaifa.Sasa hicho kikundi chenu bila ayatullah hakuna mkutano! Afande Sele tangu atoke CHADEMA hajawahi kuhutubia mkutano wowote Morogoro,wakati ule alikuwa akiandaliwa mikutano na Bavicha akajaza watu akadhani yeye ni maarufu sana. Sasa amebaki kumfuata Zitto nyuma tu kama nzi anayefuata mav.I.Nadhani mburura Bavicha hawataonekana hapa. azi ya Mzalendo hiyo
Kwa nini isiwaume CCM! Kama kweli act wana nguvu ya kuchukua majimbo yote kigoma watakaoumia kwa kupoteza ni CCM. Lakini kwa kuwa act na CCM ni kitu kimoja ndiyo maana wafuasi WA CCM na act wote wanashangilia wakidhani wanaikomoa CHADEMA. Yaani wametoa kwa mkono wa Julia na kupokea kwa mkono WA kushoto.Chadema inawauma sana.
Sikia matusi watayo kuja nayo
zitto saizi yake ni bavicha. Kiongozi yeyote wa bavicha anaweza kupiga mkutano na kuhutubia maelfu ya watu bila kutegemea viongozi wa kitaifa.sasa hicho kikundi chenu bila ayatullah hakuna mkutano! Afande sele tangu atoke chadema hajawahi kuhutubia mkutano wowote morogoro,wakati ule alikuwa akiandaliwa mikutano na bavicha akajaza watu akadhani yeye ni maarufu sana. Sasa amebaki kumfuata zitto nyuma tu kama nzi anayefuata mav.i.
kwa nini isiwaume ccm! Kama kweli act wana nguvu ya kuchukua majimbo yote kigoma watakaoumia kwa kupoteza ni ccm. Lakini kwa kuwa act na ccm ni kitu kimoja ndiyo maana wafuasi wa ccm na act wote wanashangilia wakidhani wanaikomoa chadema. Yaani wametoa kwa mkono wa julia na kupokea kwa mkono wa kushoto.
kigoma hawajamjua msariti vzuri.Zzk anaweza ata kwenda kugombea Burudi wawe makini