Kiongozi wa chama cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe apata mapokezi makubwa Mjini Kigoma

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.





Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghwira, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho.





Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akicheza wimbo wa chama ulioimbwa na msanii, Baba Levo, wakati wa mkutano wahadhara mjini Kigoma jana.


Baadhi ya wakazi wa mji wa Kigoma wakifuatilia mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo mjini Kigoma jana.
 
Tulieni kimyakimya Wanakigoma tutawaonyesha umahiri wetu katika mapinduzi ya kisiasa pale tu tunapokuwa hatujaridhishwa na maamzi yanayofanywa na viongozi wa vyama vya siasa, kama Chadema walivyofanya kwa shujaa Zitto ili wampoteze kisiasa. kwanza Chadema isahau kupata jimbo kigoma
 
Mapokezi wakati kila siku yuko hapo kigoma! Huyu hachezi mbali na kigoma analinda jimbo!anajua akitoka tu na jimbo analikosa,sana sana anabip ziara siku mbili mikoani anarudi faster kigoma.
 
ACT WAZALENDO na aina ya siasa wanayofanya naamini itakuwa tishio kubwa sana kwa siku zijazo, kwanza kwa kuwa na mwanamke mwenyekiti inawavutia sana akina mama, pili sijasikia mahali wakiongelea vurugu hii itawapa kura za akina mama na mwisho kwa vijana wasomi wasiokuwa na mihemuko watajiunga ACT kutokana na kuwa ni cham chenye sera angalau yenye kujipambanua hadi kufikia kuwa na azimio la TABORA.
 
Nadhani mburura Bavicha hawataonekana hapa. azi ya Mzalendo hiyo
Zitto saizi yake ni Bavicha. Kiongozi yeyote wa Bavicha anaweza kupiga mkutano na kuhutubia maelfu ya watu bila kutegemea viongozi wa kitaifa.Sasa hicho kikundi chenu bila ayatullah hakuna mkutano! Afande Sele tangu atoke CHADEMA hajawahi kuhutubia mkutano wowote Morogoro,wakati ule alikuwa akiandaliwa mikutano na Bavicha akajaza watu akadhani yeye ni maarufu sana. Sasa amebaki kumfuata Zitto nyuma tu kama nzi anayefuata mav.I.
 
Chadema inawauma sana.
Sikia matusi watayo kuja nayo
Kwa nini isiwaume CCM! Kama kweli act wana nguvu ya kuchukua majimbo yote kigoma watakaoumia kwa kupoteza ni CCM. Lakini kwa kuwa act na CCM ni kitu kimoja ndiyo maana wafuasi WA CCM na act wote wanashangilia wakidhani wanaikomoa CHADEMA. Yaani wametoa kwa mkono wa Julia na kupokea kwa mkono WA kushoto.
 
kigoma hawajamjua msariti vzuri.Zzk anaweza ata kwenda kugombea Burudi wawe makini
 
zitto saizi yake ni bavicha. Kiongozi yeyote wa bavicha anaweza kupiga mkutano na kuhutubia maelfu ya watu bila kutegemea viongozi wa kitaifa.sasa hicho kikundi chenu bila ayatullah hakuna mkutano! Afande sele tangu atoke chadema hajawahi kuhutubia mkutano wowote morogoro,wakati ule alikuwa akiandaliwa mikutano na bavicha akajaza watu akadhani yeye ni maarufu sana. Sasa amebaki kumfuata zitto nyuma tu kama nzi anayefuata mav.i.

ilikuwa bila sele hakuna bavicha ; morogoro
 
kwa nini isiwaume ccm! Kama kweli act wana nguvu ya kuchukua majimbo yote kigoma watakaoumia kwa kupoteza ni ccm. Lakini kwa kuwa act na ccm ni kitu kimoja ndiyo maana wafuasi wa ccm na act wote wanashangilia wakidhani wanaikomoa chadema. Yaani wametoa kwa mkono wa julia na kupokea kwa mkono wa kushoto.


ndo maana ccm wamepatelekeza wanajua hakuna chao
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom