ACT Wazalendo waifuata Chadema, wafuta ukomo wa uongozi

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
Chama cha ACT Wazalendo kimefuta ukomo wa uongozi kwenye marekebisho ya katiba yake ya Machi, 2020.

Kwa mujibu wa marekebisho hayo ibara ya 111(4) mwanachama anaweza kuwa kiongozi kwa muda wa miaka mitano (5), na anaweza kuchaguliwa tena kwa muda wowote kama wanachama wanamkubali.

Hivyo kwa mabadiliko haya viongozi waliochaguliwa wanaweza kukaa madarakani milele ili mradi wanachama wanawakubali.

Katiba ya Zamani ya ACT WAZALENDO ya mwaka 2015, iliweka ukomo wa uongozi kwa nafasi moja kwa muda wa vipindi viwili vya miaka mitano-mitano (5) tu, yaani miaka kumi (10).

Kwa msingi huo Kiongozi wa chama hicho Zitto Zuberi KABWE hii ilitakiwa kuwa ndio awamu yake ya pili na ya mwisho kwa nafasi ya kiongozi wa chama, lakini kwa mabadiliko hayo ataendelea kwenye nafasi hiyo milele na milele ili mradi wanachama wamkubali.

Ni nchini kwetu Tanzania ndo utakutana na utitiri wa viongozi wa vyama vya upinzani wa kudumu lakini waigizaji wakubwa kuwa ni watetezi wa Demokrasia..

Kila siku huwa nasema , vyama vya upinzani nchini kwetu Tanzania ni mifumo ya utafutaji fursa za maisha tu na wala si vinginevyo.

Eti wanapigania demokrasia, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Zitto aliyemshambulia Freeman Mbowe kwa kuondoa ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA yeye leo kaiga!

#WaigizajiWaDemokrasia #corona #covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kama wanakunyima usingizi! Sisi wengine tusio na vyama hatuna shida - nikienda kulala siamki (kwa kukosa usingizi) hadi asubuhi - tena napata shida kuamka maana usingizi unakuwa bado upo.
 
Kwahyo ccm wanatatizo kwakua cheo cha mwenyekiti hakijawahi chaguliwa na nikilekile ...ukiwa president lazima uwe mwenyekiti....msipigie kelele vyama vya upinzani akati ccm hawana badiliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mfumo mbona ni wa kawaida hasa kwa nchi ambazo tunazichukulia kama role models wetu wa Demokrasia.

Nchini Uingereza, kwa mfano, kiongozi wa chama chenye Wawakilishi wengi ndio anakuwa kiongozi wa Serikali (Waziri Mkuu).
 
We jamaa mtu wa ajabu Sana .unashangaa mtu kuingiza kwa muda mrefu inashindwa kushangaa CCM iliyoongoza kwa miaka zaidi ya 50
 
1. Tangu tupate uhuru 1961 chini ya CCM, sekta ya elimu nchini haijawahi kuwa mkombozi kwa mwananchi! (Mambo yanayofundishwa hayaaksi hali halisi ya mahitaji ya jamii)

2. Nafasi ya uenyekiti wa ccm Taifa ukisema itie nia, basi utaitwa mhujumu uchumi na utakatishaji money.
 
Huu uzi kwa comment za watu ni rahisi kuwajua wale ambao ni wanafiki wanaosemaga mara oooh Demokrasia,demokrasia inaminywa. tutajua wengi
 
chakushangaza kama kuna wakulalamika walikua wawe wanachama wa ACT, ila wao wenyewe wapo kimya munalalamika vijana wa Lumumba
 
Chama cha ACT Wazalendo kimefuta ukomo wa uongozi kwenye marekebisho ya katiba yake ya Machi, 2020.

Kwa mujibu wa marekebisho hayo ibara ya 111(4) mwanachama anaweza kuwa kiongozi kwa muda wa miaka mitano (5), na anaweza kuchaguliwa tena kwa muda wowote kama wanachama wanamkubali.

Hivyo kwa mabadiliko haya viongozi waliochaguliwa wanaweza kukaa madarakani milele ili mradi wanachama wanawakubali.

Katiba ya Zamani ya ACT WAZALENDO ya mwaka 2015, iliweka ukomo wa uongozi kwa nafasi moja kwa muda wa vipindi viwili vya miaka mitano-mitano (5) tu, yaani miaka kumi (10).

Kwa msingi huo Kiongozi wa chama hicho Zitto Zuberi KABWE hii ilitakiwa kuwa ndio awamu yake ya pili na ya mwisho kwa nafasi ya kiongozi wa chama, lakini kwa mabadiliko hayo ataendelea kwenye nafasi hiyo milele na milele ili mradi wanachama wamkubali.

Ni nchini kwetu Tanzania ndo utakutana na utitiri wa viongozi wa vyama vya upinzani wa kudumu lakini waigizaji wakubwa kuwa ni watetezi wa Demokrasia..

Kila siku huwa nasema , vyama vya upinzani nchini kwetu Tanzania ni mifumo ya utafutaji fursa za maisha tu na wala si vinginevyo.

Eti wanapigania demokrasia, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Zitto aliyemshambulia Freeman Mbowe kwa kuondoa ukomo wa uongozi kwenye katiba ya CHADEMA yeye leo kaiga!

#WaigizajiWaDemokrasia #corona #covid19

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakipewa uongozi wa nchi watafanya hivihivi
 
Kuna kina Mrema, Mbatia, Lipumba hao wana zaidi ya miaka 20 kwenye uenyekiti ila vishuzi vinawawasha kwa Mbowe tu, pumbavu kabisa.

Toka nazaliwa namsikiaga Mangula n makamu mwenyekiti wa CCM BARA wala haijawahi kuleta shida...nina imani kama mwenyekiti wa CCM asingekuwa Rais na ukomo wa kikatiba wa nchi yetu usingemwondoa madarakani ,hadi sasa mwenyekiti CCM angekuwa mmoja kama asingefariki.
 
Aiseee acha kudanganya Waziri mkuu wa uingereza hapatikani namna hiyo uliyoandika
Huo mfumo mbona ni wa kawaida hasa kwa nchi ambazo tunazichukulia kama role models wetu wa Demokrasia.

Nchini Uingereza, kwa mfano, mwenyekiti wa chama chenye Wawakilishi wengi ndio anakuwa kiongozi wa Serikali (Waziri Mkuu).
 
Hapa tu ndio CCM hutofautiana na vyama vingine vya siasa.
Wewe unaumwa kichwa, Rais wa Tz angekuwa habadiliki huyo Mwenyekiti wa ccm angebadilika? Ni wapi ccm walifanya uchaguzi wa Mwenyekiti wao!? Acha uzuzu.
 
Back
Top Bottom