Kiongozi wa CHADEMA mahakamani kwa kuwapiga wauguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa CHADEMA mahakamani kwa kuwapiga wauguzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Haki Yetu, Jun 1, 2011.

 1. H

  Haki Yetu Senior Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi oneni habari zinazoripotiwa na magazeti yetu kwa nia ya kuwapa habari watanzania

  "Polisi Dar es Salaam wamemkamata na kumfikisha mahakamani, mwenyekiti wa mtaa wa Yangeyange kata ya Msongola, Ilala Collman Marwa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga, muuguzi wa Zahanati ya Msongola.

  Mwenyekiti huyo aliyeingia madarakani kupitia Chadema, pia anadaiwa kuwapiga wauguzi wengine sita wa zahanati hiyo."

  source: Mwananchi, 1 Jun, 2011
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Haki yetu kuhabarishwa
   
 3. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona ipo personal sana hii,CDM wanazungumzia issues...:grouphug::grouphug::grouphug:....RIP magamba
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  magamba aka wauza mihadarati waliokubuhu......... huyo mwandishi wa hiyo habari anatakiwa akaiweke kwenye magazeti ya udaku..
   
Loading...