Kiongozi wa CHADEMA ametekwa

Kiongozi wa CHADEMA ametekwa

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,133
Reaction score
2,128
Nimepokea ujumbe Huu kutoka iringa


kamanda Katibu mwenezi wa CHASO MKOA WA IRINGA MTOTOMWEMA KASPAR AMETEKWA NA GREEN GURD WAKIONGOZWA NA KATIBU WA MKOA CCM MTENGA.
KWA SASA MTOTOMWEMA AMEPATKANA YUPO KITUO CHA POLIS AKITOA MAELEZO.
BY KATIBU CHASO MKOA IRINGA.

Maelezo ya awali ni kwamba mwenezi Huyu alikuwa anatembea chumba kwa chumba kuwashauri vijana wajiandikishe kupiga kura na wachague chadema.

Updates


CCM IKIONGOZWA NA HAMIS MTENGA IMEMTEKA NA KUMTESA MWENYEKITI WA BAVICHA RUCO ANAYEFAHAMIKA KWA JINA LA MTOTO MWEMA

Updates

TUPO POLISI WAMEMWACHIA TAARIFA ZAID BAADAE BUT NUMBER YA GARI NI T 204 CMN TOYOTA HIACE
 
Vijana tuamke jaman,bado tumelala hatimaye tutajikuta watupu bila nguo.....
 
Farasi akitaka kufa ni hatari kubwa anapiga sana mateke. Kuweni chonjo na mateke ya CCM ni balaa.
 
Vijana tuamke jaman,bado tumelala hatimaye tutajikuta watupu bila nguo.....

sisi tushaamuka wewe kama bado umelala kivyako ndiyo maana ukawa tunawazarau sana kwasababu tunajitambua.
 
sisi tushaamuka wewe kama bado umelala kivyako ndiyo maana ukawa tunawazarau sana kwasababu tunajitambua.
Nyie nani,sema wewe umeamka japo unaonekana bado umelala
 
Hakuna kitu hapo . Huyo amejiteka mwenyewe kutafuta umaarufu
 
tafuteni gari then choma moto....lete taarifa ya kazi na si kulalamika!mbona mnawaachie ccm,si huyu mtu anajulikana sasa nini hapo...sera ya jino kwa jino
 
Hakuna kitu hapo . Huyo amejiteka mwenyewe kutafuta umaarufu

Sikushangai kwa akili yako ilivyo finyu maana hata mama yako akiwa chadema akatekwa na kubakwa utashangilia kwasababu unapokea buku 7 kutoka Lumumba.
 
Tuwekee picha mkuu chadema mmezidi kwa uongo.
 
Siasa za nchii ya Tanzania ni kichekesho mbele ya washika dau... sipati picha kwa nvchi zenye teknlogia na uwezo kwenye kila nyanja kama US zingekuwa zina fanya mambo haya ya kutekana katika siasa zao. Hakika hali ingekuwa tete sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom