Kiongozi mwingine wa Ngazi ya Juu wa Hamas Saleh Al Arouri auawa akiwa mafichoni Lebanon baada ya IDF kushusha bomu zito!

Yupo peponi na mabikira 72....shetani kuanzisha hii Imani amesabahisha dunia kuwa sehemu ya hatari sana
20240102_204222.jpg
 
Saleh Al Arouri pamoja na Kundi lingine la Wafuasi wa Hamas wameuawa baada ya Israel kulipua makao ya Hamas pembezoni mwa Beirut

Hali ni tete Sana hadi viongozi Rafiki wa Hezbollah wamechanganyikiwa

Source Al jazeera news
Wacha wamalizane hiki kizazi cha Hamas wa sasa wengi wao babu zao na baba zao waliuwawa kitambo hivyo vita haiwezi zaidi ya kuchochea chuki na kuwapa morali!
 
Wacha wamalizane hiki kizazi cha Hamas wa sasa wengi wao babu zao na baba zao waliuwawa kitambo hivyo vita haiwezi zaidi ya kuchochea chuki na kuwapa morali!
😂😂😂 Huku bongo akina Tundu Lisu wanawaza uchaguzi tu wakati Vita ndio inatapakaa kuelekea WW3
 
Saleh Al Arouri pamoja na Kundi lingine la Wafuasi wa Hamas wameuawa baada ya Israel kulipua makao ya Hamas pembezoni mwa Beirut

Hali ni tete Sana hadi viongozi Rafiki wa Hezbollah wamechanganyikiwa

Source Al jazeera news
Labda umechanganyikiwa wewe , sio wa kwanza wala wa mwisho kufa huyo, Hamas wana namna nzuri ya kuendeleza uongozi pinda mmoja anapo kufa
 
Back
Top Bottom