Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Ndg Figakei Magodoro ambae ni kiongoz wa wafugaji, ameamua kwa hiari yake kuhama kwenye pori la hifadhi tengefu na kujiunga na Chuo Cha Mafunzo- Iringa Veta (CCM-Iringa Veta)
ha ha ha ha! yeye huyo kaenda vetaMi nilipoona Kiongozi Mkubwa kuhamia CCM-Iringa, nikajua ni Chumba Cha Mkurugenzi!