Kiongozi gani wa juu muongo kupitiliza? Wangu ni huyu...

Mkuu ccm haijawai kuongea ukweli,,kila kitu ni waongo hawa watu..wafuasi wao ni viziwi na vipofu.hawajui kuchambua mambo wao kila kitu wanapiga makofi..ipo siku ccm itasema nyerere alikufa 2007 na wafuasi wao watakubali na kushangilia
 
Sitataja mtu hapa lakini nasemaaa...

Ukizaliwa mwongo, na kwenye familia ambayo labda mtoto hakukanywa kuhusu kusema uongo, basi utakuwa mwongo tu maisha yako yote...ndiyo sasa unakuta mtu ana heshima kubwa tu katika jamii lakini anamdanganya mke wake na ana nyumba ndogo kibao na watoto wa kuzaa na wanawake tofauti kila mtaa, kila shule na kila chuo ukienda utakuta watoto wanaotumia majina yake wapo, na pia ndiyo sasa unakuta mtu huyo ana mahusiano ya kingono na wake wa wafanyakazi wake...mtu wa namna hiyo ni mpumbavu tu!
 
Mkuu, ukitakiwa na vyombo vya dola uthibitishe uongo wa rais, utaweza kweli kufanya hivyo?, ukiwa na ushahidi wa makabrasha yanayoipa nguvu hoja yako?.

Hata ukija kuweza kutoa ushahidi halisi, huoni kuwa utakuwa umeshaumia kwa siku kama sio miezi kadhaa?. Be careful my good friend.
 
Huyo Cag ajipange kuhamishiwa kitengo kingine,

Si unakumbuka mkuu alisema Kuna watu wlikuwa wanalipwa mpaka mil 40, alipokuja mweka hazina akasema hakuna mtu aliyewahi kupokea mshahara wa mil 40 hapa Tz, haukupita muda akahamishiwa wizara nyingine
Impossible,hadi anastaafu
 
Mkuu, ukitakiwa na vyombo vya dola uthibitishe uongo wa rais, utaweza kweli kufanya hivyo?, ukiwa na ushahidi wa makabrasha yanayoipa nguvu hoja yako?.

Hata ukija kuweza kutoa ushahidi halisi, huoni kuwa utakuwa umeshaumia kwa siku kama sio miezi kadhaa?. Be careful my good friend.
Ila Bukililo sukar wapi ilikuwa 5000/- nchi hii kabla ya uchaguz au wakat wa uchaguz?
 
Mimi nafahamu kwa kufanya kazi nae kwa zaidi ya miaka 20

1 Nimuongo zaidi ya ulivyoandika. Barabara ya Ngulukulu imekula bajeti zaidi ya tano. Jiulize imekamilika lini.

2. Anatoa takwimu kichani si kwenye chanzo chenye uhakika kisheria (NBS). Jiulize urefu wa barabara za lami.

3 Alidanganya barabara ni muhimu kuliko reli akawa anachotewa 97% ya pesa za bajeti kupeleka kwenye barabara na 3% zielekezwe kwenye reli anga na mawasiliano. Sasa tunakopa kwa ajili ya kujenga reli, mawasiliano na ATCL baada ya kuharibika kupita maelezo.

4 Ni kweli aliwagawia ndugu zake nyumba za serikali kinyume cha maamuzi na makusudio ya baraza la mawaziri kuhusu hizo nyumba.

Ni mwizi wa kubobea kupitia TANROADS na hasa mizani.

Ndiye rais huyo kwa kutojiamini analindwa na Rwanda TUNALO

Analindwa na RWANDA ?
 
Ila Bukililo sukar wapi ilikuwa 5000/- nchi hii kabla ya uchaguz au wakat wa uchaguz?
Kama mfumo ukiamua kumshughulikia huyu mleta mada, atamlaumu nani?. Mkuu, kuna kupitiwa kauli kwa binadamu, nani asiyekosea hapa duniani.

Kumuita mtu ni muongo ni tuhuma nzito sana, hapa tunamuongelea rais wa nchi sio rais wa makundi ya whatsapp.
 
>Alisema alipoingia mafarakani sukari ilikuwa inauzwa 5000/= ukweli ilikuwa inauzwa chini ya 2500/= je, alidanganywa na wasaidizi wake?
Bei ya sukari sehemu zingine ilifika 5,000 na zaidi, ila ni baada ya awamu ya tano na siyo kabla yake.
 
Kama mfumo ukiamua kumshughulikia huyu mleta mada, atamlaumu nani?. Mkuu, kuna kupitiwa kauli kwa binadamu, nani asiyekosea hapa duniani.

Kumuita mtu ni muongo ni tuhuma nzito sana, hapa tunamuongelea rais wa nchi sio rais wa makundi ya whatsapp.

sijaona jina la JPM ktk hii mada...
 
Kama mfumo ukiamua kumshughulikia huyu mleta mada, atamlaumu nani?. Mkuu, kuna kupitiwa kauli kwa binadamu, nani asiyekosea hapa duniani.

Kumuita mtu ni muongo ni tuhuma nzito sana, hapa tunamuongelea rais wa nchi sio rais wa makundi ya whatsapp.
Mkuu kama ni kupitiwa basi NAYE AAMINI KUWA ALOTOA DATA ZISIZO KWELI ZA SERIKALI ALITELEZA AS BINADAM,Mbona Kabud ameagizwa watu wa aina hiyo wakamatwe.
Na pia utambue anayetuhumiwa ni rais as taasisi sio JPM as human being.
Watu hawana shida naye as hinadam ila kwakua ni rahisi lazima apate challenges.
Anaandikiwa hotuba,kama mwandishi anakosea awajibishwe,anapewa takwim kama wanamdanganya wawajibishwe.
Hivi mie niamini sukar ilikuwa 5000/- in 2015 kweli?
Hata NINGEKUWA nalelewa kwetu nisingeamini maana ningekuwa natumwa dukani.
Wakimshughulikia watamuonea kwa sababu aliyasema hayo.Na hakuja kuomba msamaha.
Issue ya wafanyakaz na uhakiki aliiongelea BoT
 
Back
Top Bottom