Kiongozi gani wa juu muongo kupitiliza? Wangu ni huyu...

Mimi nafahamu kwa kufanya kazi nae kwa zaidi ya miaka 20

1 Nimuongo zaidi ya ulivyoandika. Barabara ya Ngulukulu imekula bajeti zaidi ya tano. Jiulize imekamilika lini.

2. Anatoa takwimu kichani si kwenye chanzo chenye uhakika kisheria (NBS). Jiulize urefu wa barabara za lami.

3 Alidanganya barabara ni muhimu kuliko reli akawa anachotewa 97% ya pesa za bajeti kupeleka kwenye barabara na 3% zielekezwe kwenye reli anga na mawasiliano. Sasa tunakopa kwa ajili ya kujenga reli, mawasiliano na ATCL baada ya kuharibika kupita maelezo.

4 Ni kweli aliwagawia ndugu zake nyumba za serikali kinyume cha maamuzi na makusudio ya baraza la mawaziri kuhusu hizo nyumba.

Ni mwizi wa kubobea kupitia TANROADS na hasa mizani.

Ndiye rais huyo kwa kutojiamini analindwa na Rwanda TUNALO
 
Huyo Cag ajipange kuhamishiwa kitengo kingine,

Si unakumbuka mkuu alisema Kuna watu wlikuwa wanalipwa mpaka mil 40, alipokuja mweka hazina akasema hakuna mtu aliyewahi kupokea mshahara wa mil 40 hapa Tz, haukupita muda akahamishiwa wizara nyingine
 
Kuwa mkweli maana uongo ni ule unaomtoka msemaji, sasa aseme yeye useme kasema hivyo kwa kudanganywa ndo kitu gani sasa?
Km wanamdanganya ni lini amewashughulikia?
 
Raisi wetu ana nia njema na waTanzania..anaponzwa na wasaidizi wake......hahahahah
 
Back
Top Bottom