ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,873
Ukiona Kiongozi anaomba kuombewa kila wakati, wakati si mgonjwa, wala hana ulemavu wowote, na wakati huo huo inajulikana kwamba maombi kwa Mungu ni wajibu wa kila mtu kwa Imani yake, basi Ujue Kiongozi huyo, analo tatizo Sugu lisilorekebishika. Tatizo hilo linaweza kuwa kati ya haya:-
1. Kiburi na majivuno.
2. Hasira na Visasi.
3. Uelewa mdogo wa mambo.
4. Uoga uliopita kiasi (Phobia).
5. Ubabe.
6. Kukosa Uvumilivu na ustahimilivu.
1. Kiburi na majivuno.
2. Hasira na Visasi.
3. Uelewa mdogo wa mambo.
4. Uoga uliopita kiasi (Phobia).
5. Ubabe.
6. Kukosa Uvumilivu na ustahimilivu.