Kiongozi anayetaka kuombewa kila siku ana tatizo sugu.

ntemintale

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
952
1,871
Ukiona Kiongozi anaomba kuombewa kila wakati, wakati si mgonjwa, wala hana ulemavu wowote, na wakati huo huo inajulikana kwamba maombi kwa Mungu ni wajibu wa kila mtu kwa Imani yake, basi Ujue Kiongozi huyo, analo tatizo Sugu lisilorekebishika. Tatizo hilo linaweza kuwa kati ya haya:-
1. Kiburi na majivuno.
2. Hasira na Visasi.
3. Uelewa mdogo wa mambo.
4. Uoga uliopita kiasi (Phobia).
5. Ubabe.
6. Kukosa Uvumilivu na ustahimilivu.
 
Mbona ameshabadilisha msimamo wake na kusema kuwa Kila MTU achukue Msalaba wake mwenyewe? Mambo ya kuombeana hakuna tena, kila MTU atajiombea mwenyewe!!!!
 
Kibiblia hakuna huduma ya maombezi kwa hivo hao wanaojidai intercessory ni wapiga ramli tu, by the way kazi aliitaka mwenyewe na kama ni cheo cha wizi wacha kimtese
 
Whats so special aombewe?au anaumwa ugonjwa wa akili yule Idd Amin Dada?
 
Mbona ameshabadilisha msimamo wake na kusema kuwa Kila MTU achukue Msalaba wake mwenyewe? Mambo ya kuombeana hakuna tena, kila MTU atajiombea mwenyewe!!!!
Basi sasa Na ajiombee yeye mwenyewe,maana ni yeye pekee anayejua shida zake!! Mimi nimwombee kwa shida gani aliyonayo kunishinda mimi? Yeye ana kila kitu!! Bado anataka tumuombee na vingine?? Hapana! Labda tuombe ili vyake viwe vyetu!
 
Unatatizo wewe

Ikija katika.sala na imani, hakuna wa kujaji mtu yupoje bali Mola.
 
Jamani si maombi tu

Niomben mimi mtu wa wanyonge ila sitajenga nyumba.

Kama mlitegemea hilo mwafaaa.

Katerero

Ngono

Tetemeko

Niombeeni jamani
 
Back
Top Bottom