Chadema eee....kisha Kitila aseme model yake ya uchaguzi ilikuwa bora wakati waliochaguliwa ni hopeless
Chadema eee....kisha Kitila aseme model yake ya uchaguzi ilikuwa bora wakati waliochaguliwa ni hopeless
Mkuu hicho kipindi kinachowakumba magamba ni Midlife Crisis.....Hao wabunge wa ccmagamba mbona wengi wako kwenye kipindi gani kile? .....wamerudi kuwa watoto,ni hadithi hadithi kwenda mbele na sasa saa yakwenda kwetu tutaonana keshooooooo!Hilo tu ndilo walilokalia bungeni akili zimechoka hawawezi kusoma hata alama.
Sasa kwanini mtu wa namna hiyo asiunge mkono kwa asilimia 100 kila kitu?
Tunategemea jipya gani kutoka kwa mtu anayeunga mkono ulalaji Bungeni?
Hivi huyo Maji Marefu alikuwa anafanyakazi gani ikulu alpokuwa anatetea safari za JK, alisema mh nmesafiri nae sana.Hivi ngoja niulize...wabunge wengi(wote) CCM wanaikubali bajeti za wizara 100%, lakini hoja zao zinatoa kasoro nyingi hoja wanazozikubali asilimia mia!! hii mbona siielewi?? Huyo Maji Marefu kamwaga pumba kuisifia wizara ya utumishi wa umma badae anatoa kashfa na kudai ndio uongozi gani huu??sasa hii mi siielewi, nahiso kama hawajielewi wanapoongea!!