babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
Wana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Mwanaume wa dar uyo akiwakilisha wenzieSupu ya pweza
gwankaja, Gwangambo, Gwangambo, Ngambo Ngali mwise kuno mbape ulukama gwa masulu agha ghalulileWana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Kitalolo hapendi?Mtori
Mmmh
Hapo kwenye wanzuki umenikumbisha 1990Rubisi,kitapu, na wanzuki