Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,555
- 21,691
Juzi nkaenda dukani kwa Mangi kunywa soda basi vile soda sukari sana nkataka kumix kidogo na vant, akaniambia hamna labda animixie na spirit inayoitwa bongo land, nikamwambia anisamehe bure nisijepofua macho tu maana hivi vinywaji vishakuwa vingi mitaani hata haijulikani vinatokea wap

mjomba ako ni putin asee

akajiona stering