Kama mwili wako hauvumilii Cafeine ni bora uache kunywa tu kuna watu wameshapatwa na heart attack wakinywa hivi vinywaji.Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
hivi mnapokunywa hayo madudu mnapata nini ?Ni mnywaji mzuri wa hivi vinywaji.... Azam energy... Dragon...
Ila hiki Mo energy ndio kimeniletea hizi strange feeling
Jaribu tena ili uwe na uhakika kama ndicho kilicho kusababishia hali hiyo au ni vumbi la Kongo.Ni mnywaji mzuri wa hivi vinywaji.... Azam energy... Dragon...
Ila hiki Mo energy ndio kimeniletea hizi strange feeling
Yani Mimi kama sinywi pombe nakunywa maji au natural juice hayo maenergy sio kabisa.
hivi mnapokunywa hayo madudu mnapata nini ?
Nina hakika hata MO hatumii hiki kinywaji
Sana na kushauri upuka hivi vinywaji ni hatari sana maana watu afya zetu zinatofautiana. na sio Mo energy vyote venye Cafeine juu ni hatari sana nilishawahi kujaribu kweli unapata energy lakini mapigo ya moyo yanaongezeka.Kama mwili wako hauvumilii Cafeine ni bora uache kunywa tu kuna watu wameshapatwa na heart attack wakinywa hivi vinywaji.
Ilikuaje Redbul ipoteze uhai wako?Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.
Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.