kinyumbani zaidi

kinyumbani zaidi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
543838_10200991612333207_660798476_n.jpg
 
sasa pinda hata kama ndo mtoto wa mkulima, kukaa kwenye mafiga ndo nini?
 
Sipati picha wapigwe akibinuka na kuangukia kwenye maji ya moto itakuwaje.
 
Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wanfanya kazi gani?? Hii ni hatari sana, mtu mwenyewe ashasema kachoka, bado wanamwacha akae karibu na masufuria yenye maji ya moto...... Hebu fikiria kichwa cha habari cha gazeti, "WAZIRI MKUU WA JMT AANGUKA JIKONI NA KUUNGUA NA MAJI YA MOTO AMEKIMBIZWA SA KWA MATIBABU" italeta maana kweli kwa wana usalama?
 
mhh huyu bwana ana hatari.......akibinuka hapo kitu ndani ya sufuria! maafa majanga!
 
Hembu tubinue screen zetu kwa nyuma huyu jamaa angukie huko kwa jiko.. teh teh....
 
Back
Top Bottom