Kinyerezi 1 Extension Project (185Megawatts) Kukamilika mwaka Huu

Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,892
7,555
Wote tunatambua kwamba serikali ina mpango wa kuacha kutumia mafuta kuzalisha Umeme na kuanza kutumia Maji na Gesi asilia ...kama wewe ni mfwatiliaji mzuri basi utakuwa unajua mitambo ya umeme ya Kinyerezi ..mpka sasa iko Miwili amabyo ni
Kinyerezi 1 (150Megawatts)
Kinyerezi 2 (240 Megawatts)

Kuna project nyingine inaitwa Kinyerezi 1 extension itayozalisha 185Megawatts itakayokamilika August mwaka huu ..Mkandarasi ni kampuni ya Jacobsen Electro na CSI


Hio ni youtube link ya channel ya CSI wakionesha maendeleo ya mradi ..28th april 2019

Pia waziri amekagua meadi huu jana

Nafutahi kuona Taifa langu linasonga mbele

Mapendekezo kwa Tanesco ni waongeze ufansi kwenye swala la usambazaji wa umeme..kwasababu umeme upo wa kutosha tatizo ni usambazaji ni mbovu sana ...nguzo zimeoza nyingine
IMG_20190429_031838.jpg
IMG_20190429_031843.jpg
IMG_20190429_031849.jpg
IMG_20190429_031846.jpg
Screenshot_20190429-032142.jpg
 
Utasikia "sijawahi kuona mtu mwongo Kama CAG, zile trilioni 2.4 ambazo hazikuonekana ndio zimetumika hapa...."(makofi na mayowe yanasikika kwa NGUVU kutoka kwa wabunge wa CCM)
 
Back
Top Bottom