Kinyang'anyilo cha mgombea urais tiketi ya "ccm" 2005 nikipi kilitokea?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinyang'anyilo cha mgombea urais tiketi ya "ccm" 2005 nikipi kilitokea??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jethro, Nov 11, 2009.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Nilipenda kujua ile 2005 pale Chimwaga Dodoma wakati wa wajumbe wa CCM toka mikoa yote ya Tanzania kwenda kumchagua mgombea Urasi mmoja kwa tiketi ya CCM kulitokea nini?

  Dr. Salim Ahamed Salim alishindwa vipi na Mrisho JK wakati tulikuwa tukijua fika Dr.S.A. Salim alikuwa achukuwe nchi na kwa hali yoyote ile M .JK alikuwa hana ubavu wa kumshinda Jamaaaa, Je kulitembea propaganda zipi mpaka JK akashinda??

  Kwanini nauliza ivyo? Nilipenda kujua chanzo cha haya yote mpaka CCM ilipofikia hapa maana na Hisi fika chanzo ni pale na kubatizwa kwa makundi ndani ya CCM ndio palikuwa pale.

  Nani alifaaa kutuongoza kwakuangalia Profile zao za kiutendaji ktk serikali,ndani ya CCM na Nje ya Nchi kati ya Mrisho J. Kikwete vs Dr. Salim Ahamed Salim

  nipeni ukweli wa mambo
   
 2. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Politics is not about competence, politics is about alliances and interests.
   
Loading...