kinyama kwenye uume

kinyama kwenye uume

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,364
Reaction score
2,056
hallow madoctors!
kuna kanyama kameota kwenye shina la uume wangu.Naogopa kukakata.je ni nini na inasababishwa na nini? tiba yake?
Shukrani sana
 
pole kama hakaumi hizo ni warts.... nipm namba yako nikutumie dawa lakini baada ya maelezo.
NOTE: kutoa dawa adhalani ni hatari maana mtu mwenye ugonjwa tofauti unaofanana na huo anweza kutumia bila maelezo maalum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom