mkuu kinyago hukioni au unauliza nini tena?
Namaanisha maudhui ya hicho kinyago hapa nina maana kwamba mchonganji alidhamilia kufikisha ujumbe gani kwa watazamaji wa kinyago hicho
au
mchongaji alikuwa na dhana ipi kuchonga kinyago hicho kwa jinsi kinavyoonekana? HAYO NDO MAUDHUI NINAYOULIZA