Kinjekitile Ngwale na Ubungo terminal

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Wakuu kuna tetesi kuwa kinjekitile ana mkono katika kituo cha mabasi ubungo na kuwa zile tiketi zinazokatwa pale asilimia kadhaa zinaenda kwake

Swali langu ule si mradi wa serikali(nakubali kusahihishwa)
Sasa kinjekitile kaingiaje hapa (still ni tetesi)

Maombi yangu
Kama kuna mtu anajua hizi tetesi maana nilishawahi zisikia siku nyingi atuhabarishe maana zinaweza kuwa ni another Epa, Twin tower

Maybe ni habari za mtaani so kama kuna mtu anajua about it atueleze pumba ni zipi na ngano ni zipi kama ni habari za mtaani its ok
Ila kama kuna ukweli ndani yake wakuu wa pipooooz poweeer kuna kaufisadi ambao kanaonekana kujificha hapa
Maana narudia tena hizi habari naendelea kuzisikia
Na kama mjuavyo INJII hii (mrema style) ni zaidi ya tuijuavyo mimi wewe na yule
 
Ndugu yangu haya mambo! Ni kweli jamaa alikuwa na tenda hiyo, nadhani alitolewa mwaka jana baada ya kuonyesha makusanyo kidogo kuliko uhalisia.

Ila ndiye anaendesha parking systems zote za DSM. Hivyo ukiona unalipia parking Dsm unamlipa yeye.

Ufisadi haufi kama ccm haifi.
 
Kuna kitu inaitwa TPS (Tanganyika(?) Parking Systems) C.T.U, kama umewahi isikia then huyo ndiye.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kituo kilirudishwa siku nyingi kwa halmashauri ya jiji kama miezi sita iliyopita hivi. Juzi nimenzisha uzi kuulizia jamaa Kinje yuko wapi cz simuoni viwanja akimwaga radhi tofauti na enzi hizo walivyokuwa wanamiliki ubungo terminal

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mutu ya watu,mutoto ya mujini huyo!! Alishanyang'anywa kitaamboooo.
 
Kwa hiyo kama nalipia parking namlipa yeye duh..
 

Kaoa sasa hivi hayo mambo anawaachia kina mutuz ze baharia
 
Loh! Wengine tumezubaa kama marehemu. Leo hii ungeniuliza Kinjeketile Ngwale ningekwambia ni Marehemu wa kujitakia baada ya kupigana Majimaji kwa imani haba
 
Mara nyingi ninajiuliza kwanini maeneo ya kuegeshea magari jijini Dar (parking) hayako bora ukilinganisha fedha inayokusanywa. Kumbe ni huyu ndugu. Kwasabubu maeneo yote yakuegeshea magari ni mabovu kupita kiasi, hela inaishia mfukoni kwa mtu, na wabunge wetu wametulia tu! Ndugu watanzania tunaibiwa sana, tena mchana kweupe!
 
Kinjekitile Ngwale?amefufuka lini?huyo unayemzungumzia ni Kinjekitile Kingunge!
 
Kafilisika QMamae.. Nimesoma Kampala na mpwa wake m1 hivi juu ya mawe.. Itakuwa yeye!! Nmeamini wahenga hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho! NUKTA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Imagine tz kuna ushuru kwa wasindikizaji wa abiria hapo ubungo terminal.
Mbona mikoa mingine hamna hii kitu??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…