Kinjekitile aungana na kusaga katika kujaribu kuikabili vinega

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
kuna habari zinasema kuwa KINJEKITILE NGOMBALE MWIRU ameingia upande wa clouds kuitetea na kupanga vikao na clouds kuhusiana na VINEGA
inasemekana kuwa kuna vikao vya siri vinafanywa kati ya KINJE NA KUSAGA jinsi ya kuiua vinega
haya yamesemwa na mmoja wa kundi la Vinega RAMA DEE kama alivyoandika katika ukurasa wake wa facebook

Kusaga Vinega tunazo sauti zenu za kikao cha Jana hahhahaa....Kinje plz naomba usiingie hapa nipagumu saana tunakuheshim bro Kama tulivyokuwa tuna muheshim Kusaga ila kajikanyaga Vinega tunalindwa na UMA msije mkajikanyaga(kwa ushauri)

RAMA DEE

hata niliwasiliana na mdau mmoja akadai wamekuwa wakimpigia simu wakitakata asilimu ili wamnyweshe sumu.... Aunt Virus with no apology Vinega are here to stay
 
Nan alopigiwa sim,na amepigiwa na nani?na alishwe sumu na NANI?
LTK wapo?
hata niliwasiliana na mdau mmoja akadai wamekuwa wakimpigia simu wakitakata asilimu ili wamnyweshe sumu.... Aunt Virus with no apology Vinega are here to stay
 
hata niliwasiliana na mdau mmoja akadai wamekuwa wakimpigia simu wakitakata asilimu ili wamnyweshe sumu.... Aunt virus with no apology vinega are here to stay
sijakuelewa
 
Habari za vijiweni. Hazina hadhi ya kujadiliwa jf.
 
Kwa sababu kila muda utapata kuskia au kusoma kitu,whether kina faida au hakina kwa jamii,na hata wahuska wanaozungumzwa huwa hawana impakt,hivi KINJE,RUGE NA KUSAGA WHO R THEY?
kwanini wasema hivyo??
 
Hivi huu upuuzi ndio unaweza kusema eti sisi tuna Umma!
Usilete habari za Rose Garden JF
 
Back
Top Bottom