Kinite dress chepesiii na g-string

Kinite dress chepesiii na g-string

Hapa nilipo gesti ndo hii pekeyake na ndio yaweza itwa the best
 
Unalala gesti hausi za kushare maliwato na choo? With all these middle class hotels with self contained rooms? Upare (ubahili) ni tatizo and yet you are looking at ladies in the corridos as if utapewa bure.

Mmh upare tena? Vya bure tena mmh haya but i wish ungejua niko wapi yasingekutoka yote hayo
 
Swahiba...sijui unataka mpaka uwekewe kwenye sahani alafu uambiwe karibu....???Mjini hapa "akili za kong'ota changanya na zako"!hio ilikuwa ni biashara tu we hujui....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom