Kingwendu ndio chaguo la Kisarawe

Kingwendu ndio chaguo la Kisarawe

Km ana diploma back swaaaf xn NAMPONGEZA
 
Nakumbuka zilikuja tetesi anagombea kupitia CCM nyumbu walicharuka humu ... Baada ya kugundua nI UKAWA sasa anafaa... No wonder slaa leo mnamuona msaliti na lowassa ni mwanamapinduzi

Hahahaha nyumbu!
 
Ninaomba aliye na clips za hotuba za kampeni za Comrade Kingwendu, atupie hapa!

kwenye facebook tafuta Mzizima24 anatoa hutuba huku akidai atashinda asubuhi hata kabla jogoo hawawika, Anaitwa brother K huko Kisarawe labda atashinda wakuu.

Najaribu kui-upload inagoma - Error message invalid file
 
hatari mno. nyie mnajiita wasomi mnaishia kupiga kelele tu sasa hawa jamaa (wasioenda shule) ndio wanaenda kututungia sera bungeni kisha mnakuja kulalamika ooh sheria kandamizi. WASOMI BADILIKENI

I bet kielimu anamzidi Mzee Wa miongozo
 
hatari mno. nyie mnajiita wasomi mnaishia kupiga kelele tu sasa hawa jamaa (wasioenda shule) ndio wanaenda kututungia sera bungeni kisha mnakuja kulalamika ooh sheria kandamizi. WASOMI BADILIKENI

Km kweli elimu yake ndogo basi itakuwa shida sana, alafu inauma sana. Kile kigezo cha kujua kusoma na kuandika naomba kingeongezwa cha "elimu ya mgombea ubunge iwe atleast bachelor degree". Ni aibu sana kwa mtu asiyesoma anakwenda KUTUNGA SHERIA alafu anakwenda KUZISIMAMIA, anaowatungia ni wananchi ambao wamemzidi kielimu, naomba kigezo cha elimu nacho kipewe kipaumbele, ndio maana WASOMI miaka hii wanazidi kudharaulika. KIGEZO cha AJUE KUSOMA na KUANDIKA kilikuwa ENZI ya NYERERE maana zamani kujua hivyo ilkuwa shida, miaka hii ni tofauti na zamani. Umuhimu wa elimu haupewi kipaumbele, elimu sio kipaji ila nilazima usome. Watu wanapropaganda sana, mara utasikia naongozwa na Roho Mtakatifu hata kwenye mambo ya kiutaalamu!, tubadilike wagombea wasome waelimike na co umaarufu wao
 
Mzaa mzaa hivi hivi Kingwendu anaingia bungeni
 
Kujua kusoma na kuandika inatosha MTU kuwa mbungo duh cc na vidigrii vyetu tunachoma mahindi tu kitaa !!!
Mungu ibariki Tz

kama mlikuwa mnasoma kwaajili ya kufaulu mtihan mnafikir mtamwongoza nani?

Elim ya sasa hivi hovyo kabisa mtu anamaliza digrii lakn hata kuandika barua ya kuomba kaz hawezi hata kujieleza kwenye interview hawez huyo atamwongoza nan. Nenden mkabebe zege
 
Nakumbuka zilikuja tetesi anagombea kupitia CCM nyumbu walicharuka humu ... Baada ya kugundua nI UKAWA sasa anafaa... No wonder slaa leo mnamuona msaliti na lowassa ni mwanamapinduzi

Even though they say ! This is politics Hawa jamaa hawako fair, wafuasi hadi viongozi no mizengwe mizengwe tu.
 
Hivi Maji marefu ana elimu gani ya kumzidi Kingwendu lakni kumbukeni kuna mbunge anaitwa ----- alikuwa anatoa michango yenye nguvu kuzidi wasomi wenu akina Wasira pia hakuna mtu asiyejua kwamba wabunge toka ccm ni mizigo zaidi kuliko wa upinzani
 
hatari mno. nyie mnajiita wasomi mnaishia kupiga kelele tu sasa hawa jamaa (wasioenda shule) ndio wanaenda kututungia sera bungeni kisha mnakuja kulalamika ooh sheria kandamizi. WASOMI BADILIKENI
Kuna wasomi bungeni for ages lakini hatuoni tofauti.
 
Back
Top Bottom