and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Kama picha inavyojieleza Mhe. Kingwendu mgombea ubunge kupitia CUF akijinadi mbele ya wapiga kura wake. Wanakisarawe kwa kauli moja tumemkubali na tunasubiri tarehe 25 oktoba tukampigie kura za kutosha. Asanteni.