Kingwendu kuchukua Kisarawe kabla hata ya kupiga kura

wasomi wengi wamekuwa wezi acha kingwendu akawaonyeshe kwamba uongozi ni karama sio usomi naamini atafanya makubwa kuliko wabunge wote waliowahi kuchaguliwa jimboni kwake
 
Mkuu, nimezungumzia uhalisia. Fuatilia posts zangu utanijua zaidi. Nilichoandika hapo juu hata kama hutakibishia.. wewe kumbuka tu akilini mwako hicho nilichoandika then utaniambia. Ilikuwa kosa kubwa kubwa kumweka Kingwetu kwani anayeshindana naye tayari alishaji-establish tangu msimu uliopita. Ingawa mgawanyo wa majimbo kupitia vyama vilivyomo UKAWA ndo ilichangia, kuna bwana mmoja kupitia CHADEMA alikuwa safi zaidi (jina lake limenitoka) yeye angeweza kumpiga chini Jafu. Bahati mbaya sisi upinzani ikitokea ukasimama katika ukweli popote unashambuliwa.

TATIZO kushupalia kauli inayozushwa kuwa kingwendu kampigia kampeni jafu,kusema kingwendu hatopata hata 10% pamoja na kuwa na watu wengi na sera zake.hapo mtu yeyote lazima atajua we ni wa upande gani,after all kusema mtu aangalie post zako za nyuma kujua upande wako ni ujinga as siasa sio kabila unaweza kuhama muda wowote.
 
kingwendu ana diploma ya uhasibu aliyosomea chuo cha uhasibu dsm msimchukulie poa.
 
Hivi kwanini mnyika kahama jimbo ambalo alikuwa nalo mkononi? Nawakubali wabunge wa upinzani but I'm curious about that.Kura yangu ya ubunge ni kwa JULIUS MTATIRO.
Sidhani kama amehama. Jimbo liligawanyakwahiyo ilikuwa lazima achague ni lipi la kugombea kati ya hayo mawili.
 
Hizi ndizo habari za uzushi ambazo hazijengi. Mimi ni UKAWA, lakini nilichukia sana KINGWENDU kupewa nafasi hiyo ya kugombea jimbo hilo la Kisarawe. Kamwe Kingwendu hawezi ku-compete na Selemani Jafu. Kingwendu anapiga kampeni akisema "mpeni kura Jafu, zitakazobaki msinisahau na mimi" Very stupid! Hataweza kupata kura hata zaidi ya 10% ya zote kwa mtazamo wangu. Tumelipoteza jimbo kipumbavu

Ww unaumwa au mzima
 
Mkuu, nimezungumzia uhalisia. Fuatilia posts zangu utanijua zaidi. Nilichoandika hapo juu hata kama hutakibishia.. wewe kumbuka tu akilini mwako hicho nilichoandika then utaniambia. Ilikuwa kosa kubwa kubwa kumweka Kingwetu kwani anayeshindana naye tayari alishaji-establish tangu msimu uliopita. Ingawa mgawanyo wa majimbo kupitia vyama vilivyomo UKAWA ndo ilichangia, kuna bwana mmoja kupitia CHADEMA alikuwa safi zaidi (jina lake limenitoka) yeye angeweza kumpiga chini Jafu. Bahati mbaya sisi upinzani ikitokea ukasimama katika ukweli popote unashambuliwa.
Hapa ndio unapojichanganya. Hao chadema si ni ukawa na ubunge watampigia kingwendu wa cuf ama unataka kusemaje yan
 
unajidhalilisha hapa kwa faida ya nani ? Hivi unakijua kiwango cha elimu cha kingwendu ? Unamdharau kwa vile anaigiza ?

Achana na mji.nga huyo, yeye anadhani kuigiza ni kuwa katika kiwango cha chini kijinga kama wakina Wema na Ray mrembo
 
MSAGA SUMU kumbe na wewe ni Comedian, haya endelea kutuchekesha kama kaka yako Kingwendu, na ujue kwamba ushindi ni ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom