Kingwendu Aukwaa Upresdaa..

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Hakya nani vile nimebakia tu mimi peke yangu bado sijawa presidaa, watu ni mapresdaa wa wasafi, wengine wachafu, wengine mapresidaa wa wembamba, mara mapresidaa wa matozi, hadi kingwee ndani ya Dolari.

Na mimi nataka kua rais sasa kama si rahisi..
 

Attachments

  • kingwe.jpg
    55.2 KB · Views: 149
Wewe unataka uraisi wa nini??. Si kila kitu kinatakwa, vingine utaviona tu kwa wengine.
 
hahahaaa kingwendu ngwendulile
 
kwenye mapendekezo ya katiba tunataka kila mkoa uwe na rais,mie nitaongoza mkoa wa akina mzee au kwa akina Bishanga mshaija
 
Last edited by a moderator:
kwenye mapendekezo ya katiba tunataka kila mkoa uwe na rais,mie nitaongoza mkoa wa akina mzee au kwa akina Bishanga mshaija
mkuu napendekeza tuwe na marais kuanzia ngazi za familia, kijiji, kata, wilaya, mkoa, taifa ili kupunguza vyama vingi vya siasa, mtu ukisha kua presdaa home inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…