kwani wewe ulivyoandika hapa jf huu utumbo wako umeajiriwa ? inawezekana ukawa na chuki na mimi kwa sababu ya mawe kabambe ninayoipa ccm na mamluki wake , lakini ni vema ukatafuta sababu za maana zaidi ili kunishambulia
Ukitoa taarifa JF ndio unakuwa mwandishi?Wewe zumbukuku uwe na mawe ya kutishia CCM?
Chungu kwenye maji ya kifuu utishie CCM?
Chawa wa Sugu niwe na chuki na wewe.Kinachoshangaza ni ujiko unaojipa na uwezo mdogo wa kujieleza ulionao.

Nje ya Ugumu wa Maisha aliyonayo kama Mimi GENTAMYCINE, ila anapenda sana kama si mno kupiga Mpepe / Puje / Kijiti / Udi Karaha / Sigara Bwege / Pombe yenye Moshi Sifa ambayo 99% ya Majirani zake huko Mbagala wanaijua.