Kingwangala: Tabora ni ya CCM, CHADEMA inawahadaa wana Tabora

Kingwangala: Tabora ni ya CCM, CHADEMA inawahadaa wana Tabora

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Mbunge huyu wa Nzega amekiri bungeni kuwa wananchi wa mkoa wa Tabora wote huwa wanaichagua CCM, jambo hili linawakera CHADEMA na kuwafanya waende Tabora kuwahadaa wana-Tabora kuwa, nanukuu, "CCM inawaasi na hawatafanya chochote kwani wanajua hata iweje ni lazima muichague CCM."

Hapa bwana Kingwangwala alikuwa akimtahadhalisha Dr Mwakyembe afanye kazi kwani hataki jimbo lake na Tabora ichukuliwe na wapinzani hasa CHADEMA, na zaidi ya yote na maelezo yote aliyoyatoa, amekataa kuunga mkono hoja ya wizara ya uchukuzi.
 
Aseme ccm iliinunua Tabora kwa sh ngapi, ccm inayo hati miliki? sIasa za mtu mchovu huonekana dhahiri pale anapokoswa hoja, huamua kulopoka kama mlevi...kilichobaki, ccm mtakuwa ni burudani ya taifa hili, wachekeshaji na wakati huo mkiudhi watu wengi...huko ndiko kuishiwa kisiasa...
 
Kigwangala ni viti maalum tu, hakushinda kura za maoni alikuwa mshindi wa 3, kabebwa na mama kikwete (wama), na sasa kishaanza kufanya uchuuzi...anakwepa kodi sababu anajua 2015 chali............!
 
Hivi zile tuhuma zake za kutumia msamaha wa kodi kufanya ufisadi nazo ameziongelea?
 
Mkoa una wabunge wote wa chama chake lakini hakuna hata barabara 1 ya lami
 
Huyo ukimtaja hussein bashe tu akili inamruka kazi ya mama salma kikwete na wama kingwangwala akala shavu toka lini mshindi wa tatu anapewa bendela ya chama kwenye kinyang'anyilo!!!!!!!!!!!????
 
Mbona hajaleta HATI MILIKI kuthibitisha kuwa ni mali ya CCM?
 
Kwakweli ukipita barabara za tabora hasa ukitokea nzega huwezi amini kama huko unakoenda kuna watu wanaishi, sijawahi ona mji uliosahaulika kama ule, barabara ni mahandaki miaka 50 ya uhuru, kazi kweli kweli
 
Hakuna jipya ndani ya mkoa wa tabora ni kero.

Ukitoka nzega kwenda tabora kero

ukitoka tabora kuja itigi kerooooooooo

ukitoka tabora kwenda urambo keroooooo

kero,kero,kero...wana tabora where are u?
 
Mimi ninachojua Tabora ni ya watanzania kwa mujibu wa Katiba...
 
Mkoa una wabunge wote wa chama chake lakini hakuna hata barabara 1 ya lami

Unahakika hatuna barabara ya lami? Toka enzi za mkoloni tulikuwa na lami. ukituwa airport ya Tabora (mjini) hadi town lami ukipandisha mlimamani camp ya jeshi mara ya mwisho kuwa Tabora ilikuwa 2009 msijenge mtazamo Tabora Bush Mji wetu ina historia sema watu wakisha fanikiwa hawarudi kwao kuiendeleza ndomana I admire watu wa Kilimanjaro wanavyoipenda Mkoa wao!
 
Asiwafanye wana Tabora kama vile ni watu wenye dead brain,wanajitambua...hata watu wa Kusini wamejitambua sasa,hauwezi mfanya mtu a fool kwa miaka yote!C.C.M imeifanyia nini Tabora miaka yote hiyo?watu wanataka maendeleo na si ushabiki wa vyama...kchwa maji
 
ahaa kumbe huyu dokta asiyejua hata maadili ya kazi yake kwani hutoa siri za wagonjwa shame on him.
 
Huyo ukimtaja hussein bashe tu akili inamruka kazi ya mama salma kikwete na wama kingwangwala akala shavu toka lini mshindi wa tatu anapewa bendela ya chama kwenye kinyang'anyilo!!!!!!!!!!!????

We si uliona walivyomjia juu BASHE baada ya kukosoa Matumizi ya fedha katika moja ya eneo kule.
Huyo ndio ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooo, ndio anayefaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata angekuwa wa kumi.
 
Back
Top Bottom