Kingunge, Sumaye na Lowassa msaidieni Maalim Seif Zanzibar

Teamubwabwa

Senior Member
Jul 7, 2015
172
195
Tuwaache wapumzike wamechoka na uchaguzi kwq kujipa Kazi ya mnyamwezi kubeba mzigo mzito Wakati hawauwezi.
 

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
225
ZanZibar ni nchi nyingine wasiingiliwe hata magufuli asiwaingilie maalim seif ndio rais huko kwa mujibu wa makusanyo ya matokeo aliyokusanya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom